Kuoa,kuna limitation?

Kuoa,kuna limitation?

Godwishes

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
640
Reaction score
167
Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx
 
good age:28-30 (not limited!)
kabila kwangu sio kikwazo,upendo wa kweli ndio ishu,japo utapata kipingamizi kutoka kwa wazazi mana wanapenda sana iyo mambo ya makabila(kizamani zaidi)
 
ya limit zipo kama utazifuatisha hasa kwa mashangazi na madada ndio wanaongoza kuhusudu hizo vikwazo..
 
Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx

Hakuna limit jembe langu. Mfano mzuri ni katibu mkuu wa chama cha peoples, yeye ana umri wa 63 sasa but bado anamchumba tena ni bint mdogo tu wa 30's years hivi.
 
Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx

Hakuna limit si kwa age wala kabila lakini vyote vina matter! Age huenda ikamatter kulingana na malengo ya sasa na baadae na kabila nalo lina matter katika familia hapo baadae.
 
nature imewafavour wanaume ndio hakuna limitation,kwa wanawake lazima uzingatie upatikanaji wa watoto katika hio ndoa hivyo tuna limitations,but then nimeona waafrica ndio inatubana hii...wazungu walaaaa anaolewa utasikia my second,third husband...lol
 
Its not bad for a Man to marry at 35yrs of age,but remember utapata watoto,utawasomeshea pensheni?au ndo utaoa dogodogo baadae ukistaafu aangaike yeye na familia?.may b kama u wil conduct ur own business.kabila doen't matter at all
 
Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx

Muda mzuri wa kuoa ni pale unapojiona kuwa moyo wako unakushauri kufanya hivyo na pia una uwezo wa kukaa na mwenzi wako na kumhudumia na kusahau starehe zingine za ujanani.
 
mtoto akianza sekondari na wewe umestaafu kama ni mwajiriwa
hapo utajaza mwenyewe.
 
Upande wangu naona Kuoa kuna limiting age, na kabila lina matter sana.

Yani nilijiwekea nikifika 25 years lazima niwe nimeoa and FYI nilisha taka kuoa tangu na miaka 19.

Kuhusu kabila katika family yetu tunatazama sana hayo, afu sitaki maswali kwa nini...mana sitawajibu nikiwajibu wengine mtachukia, lakini wekeni kwenye akili zenu sehemu zingine huowi/huozeshwi tu bila kuwa una kabila zuri...tuiteni wabaguzi sijui nini mtabakia kupiga kelele tu, mana hata vitabu vya mungu vinasema kila mtu ana level yake.
 
Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx
Asante sana,kwa wachangiaji at least nimepata mwanga,ngoja niwepo wepo the time will tell.Be blessed.
But kwa huyu...Eti mada inajirudia haujanitendea haki coz wengne ni wageni mtandaoni,nawe,ubarikiwe
 
untitled.png

Hapo vipi?
 
Watoto ni Neema ya Mungu kwenye Ndoa

Unaweza kuwa na mawazo ya watoto lakini wasipatikane,

Hivyo bado asema Ndoa haina limitation
 
Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx
Limitations zipo tu...zipo za kisheria (huwezi kuowa kama hujafikisha miaka 18 na huwezi kuolewa ukiwa chini ya miaka 15!), zinaweza kuwepo za dini yako/yenu, zinaweza kuwepo za jamii ya kitanzania kwa ujumla, zinaweza kuwepo za kabila lenu, zinaweza kuwepo za ukoo wenu, zinaweza kuwepo za familia yenu na mwishowe zinaweza kuwepo zako mwenyewe. Ukiacha hizo za kisheria, nyingine zote unaweza kuamua against them bila ya kushitakiwa mahakamani....kikubwa wanachoweza kufanya ni kukutenga tu! So, my point is mwamuzi wa hizo limits/limitations kwa sehemu kubwa ni wewe mwenyewe peke yako!
 
Muda mzuri wa kuoa ni pale unapojiona kuwa moyo wako unakushauri kufanya hivyo na pia una uwezo wa kukaa na mwenzi wako na kumhudumia na kusahau starehe zingine za ujanani.
yes........... buraza hapo umemaliza kila kitu..
 
Mimi nikiamuwa kuoa kigenzo cha kabila ni muhimu sana kwangu, kwanza ningependa kabisa nipate mchumba wa kichaga hawa wana challenge nzuri za kimaisha, na kamwe sihitaji mchumba mzaramo, mlugulu, mndengeleko, mmatumbi na Mkwerre ndio sitaki kabisa hata kumsikia, maana kama Rais kichwa kiko vile basi hao dada zake nadhani ni akili ya kucheza ngoma tu ndio iliyosalia kichwani
 
Back
Top Bottom