MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Ninatamani sana kutoa ushuhuda katika thread hii but nahofia mwenyewe atajua. Nonachowezasema ni kimoja......mwanamke tuko kama mikate ya boflo, chai tu kiboko yetu. Know how to treat a lady and there you have us .............the whole of us. ! Mpende, mheshimu kama mume, usionyeshe kumnyenyekea kijingajinga!, usionyeshe kumwogopa kama bosi nadni ya nyumba.......we all need to be protected tatizo wanaume wengine wakishaona mwanamke msoni basi anaanalyze kila mkewe atakachosema kiasi kwamba hata kukiwa na aurgument ya kawaida mtu anaiweka kiusomi. Tatizo mnawachakachua ndo maana mnawafungua makucha!!
Hahahah The Boss unataka kununua kesi !! hapana bana nut mh!! acheni tu............nitumie huo ushuhuda pm tafadhali
Hahahah The Boss unataka kununua kesi !! hapana bana nut mh!! acheni tu............
utanifanya nim hisi mwingine...lol
bora unitumie,niepukana na dhambi ya kumhisi sie..lol
Hahahhah we mhisi tu halafu hiyo dhambi ibank kwenye account yangu mimi!
unajua ni bahati mbaya leo jumamosi
ingekuwa siku ya kazi ningemtambua tu,ningetazama wanaoitazama hii thread bila kuchangia
ningejumlisha na hisia zangu....lol ningemjua....lol
Hahahahah wala sijui kama yupo JF.........nway tusitoke nje ya mada..sasa hapa mtoa mada ndo anataka kusema tusiwasomeshe sana mabinti zetu?? kisa watakosa waume kwa kuhofiwa kutodumisha ndoa? Mwe mbona sasa tunarudi enzi za ujima jamani?

mi sikubaliani na hilo, bado kuna sample zipo mtaan mwanamke sio tu kwamba anapeza na elimu ya juu kuliko mwanaume but pia anatunza familia.and life goes on happily. so tunapoliangalia hili lazma tupate ushahidi kamili. aaaaaaaaaaay msigope vidume kuoa wanawake wa namna hiyo banaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Ninatamani sana kutoa ushuhuda katika thread hii but nahofia mwenyewe atajua. Nonachowezasema ni kimoja......mwanamke tuko kama mikate ya boflo, chai tu kiboko yetu. Know how to treat a lady and there you have us .............the whole of us. ! Mpende, mheshimu kama mume, usionyeshe kumnyenyekea kijingajinga!, usionyeshe kumwogopa kama bosi nadni ya nyumba.......we all need to be protected tatizo wanaume wengine wakishaona mwanamke msoni basi anaanalyze kila mkewe atakachosema kiasi kwamba hata kukiwa na aurgument ya kawaida mtu anaiweka kiusomi. Tatizo mnawachakachua ndo maana mnawafungua makucha!!

Mmmmh mi naombea mwanaume wakuishi naye kama mume, awe amenizidi katika baadhi ya mambo hata kama sio yote, manake kwa hulka ya kiume kumzidi ni matatizo tu. Mmmh ingpendeza lile linalonishinda yy aweze, kile nisichokijua basi yy akijue afu nimuulize. Vinginevyo............
With all due respect Sir, I beg to differ..... Not all women, I think wewe umekutana na wa aina moja, I know some who are really powerful in some aspects like elimu, kazi and yet they are down to earth to their husbands!Simply and in a very plain spoken language ... Dont dare!

Yes' dont dare to make her your wife a woman under those conditioms!

You ask Why? Power is toxic to any woman if above her Husband!!

She wil risent you regardless and whatever you dream as supermanagment to her! Dont Ever dare do that!!