Kuoa mwanamke anaye kuzidi Elimu

Kuoa mwanamke anaye kuzidi Elimu

Ninatamani sana kutoa ushuhuda katika thread hii but nahofia mwenyewe atajua. Nonachowezasema ni kimoja......mwanamke tuko kama mikate ya boflo, chai tu kiboko yetu. Know how to treat a lady and there you have us .............the whole of us. ! Mpende, mheshimu kama mke, usionyeshe kumnyenyekea kijingajinga!, usionyeshe kumwogopa kama bosi nadni ya nyumba.......we all need to be protected tatizo wanaume wengine wakishaona mwanamke msoni basi anaanalyze kila mkewe atakachosema kiasi kwamba hata kukiwa na aurgument ya kawaida mtu anaiweka kiusomi. Tatizo mnawachakachua ndo maana mnawafungua makucha!!

ukichanganya na malezi ya msaada kwenye tuta! utakoma

Ninatamani sana kutoa ushuhuda katika thread hii but nahofia mwenyewe atajua. Nonachowezasema ni kimoja......mwanamke tuko kama mikate ya boflo, chai tu kiboko yetu. Know how to treat a lady and there you have us .............the whole of us. ! Mpende, mheshimu kama mume, usionyeshe kumnyenyekea kijingajinga!, usionyeshe kumwogopa kama bosi nadni ya nyumba.......we all need to be protected tatizo wanaume wengine wakishaona mwanamke msoni basi anaanalyze kila mkewe atakachosema kiasi kwamba hata kukiwa na aurgument ya kawaida mtu anaiweka kiusomi. Tatizo mnawachakachua ndo maana mnawafungua makucha!!

nitumie huo ushuhuda pm tafadhali

Hahahhah we mhisi tu halafu hiyo dhambi ibank kwenye account yangu mimi!

unajua ni bahati mbaya leo jumamosi
ingekuwa siku ya kazi ningemtambua tu,ningetazama wanaoitazama hii thread bila kuchangia
ningejumlisha na hisia zangu....lol ningemjua....lol

unajua ni bahati mbaya leo jumamosi
ingekuwa siku ya kazi ningemtambua tu,ningetazama wanaoitazama hii thread bila kuchangia
ningejumlisha na hisia zangu....lol ningemjua....lol

Hahahahah wala sijui kama yupo JF.........nway tusitoke nje ya mada..sasa hapa mtoa mada ndo anataka kusema tusiwasomeshe sana mabinti zetu?? kisa watakosa waume kwa kuhofiwa kutodumisha ndoa? Mwe mbona sasa tunarudi enzi za ujima jamani?

ujinga mtupu
watu wanazungumza kama vile hao wanawake hawana hitaji la mapenzi pia....

we both need each other,regardless ya elimu au pesa

mi sikubaliani na hilo, bado kuna sample zipo mtaan mwanamke sio tu kwamba anapeza na elimu ya juu kuliko mwanaume but pia anatunza familia.and life goes on happily. so tunapoliangalia hili lazma tupate ushahidi kamili. aaaaaaaaaaay msigope vidume kuoa wanawake wa namna hiyo banaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Jukumu la kulea familia mmelikimbia!Hamna lolote!

Mmmmh mi naombea mwanaume wakuishi naye kama mume, awe amenizidi katika baadhi ya mambo hata kama sio yote, manake kwa hulka ya kiume kumzidi ni matatizo tu. Mmmh ingpendeza lile linalonishinda yy aweze, kile nisichokijua basi yy akijue afu nimuulize. Vinginevyo............

Ninatamani sana kutoa ushuhuda katika thread hii but nahofia mwenyewe atajua. Nonachowezasema ni kimoja......mwanamke tuko kama mikate ya boflo, chai tu kiboko yetu. Know how to treat a lady and there you have us .............the whole of us. ! Mpende, mheshimu kama mume, usionyeshe kumnyenyekea kijingajinga!, usionyeshe kumwogopa kama bosi nadni ya nyumba.......we all need to be protected tatizo wanaume wengine wakishaona mwanamke msoni basi anaanalyze kila mkewe atakachosema kiasi kwamba hata kukiwa na aurgument ya kawaida mtu anaiweka kiusomi. Tatizo mnawachakachua ndo maana mnawafungua makucha!!

Nimeipenda hii!

Mmmmh mi naombea mwanaume wakuishi naye kama mume, awe amenizidi katika baadhi ya mambo hata kama sio yote, manake kwa hulka ya kiume kumzidi ni matatizo tu. Mmmh ingpendeza lile linalonishinda yy aweze, kile nisichokijua basi yy akijue afu nimuulize. Vinginevyo............

Realy Lady!

hebu tuulizane nini maana ya kumzidi mtu kielimu kwanza??????

unaweza kuwa umezidiwa kielimu in papers lakini kwenye general knowledge uko juu sana

mimi hapa huwa nachati na wadada wenye phd kwenye maeneo yao but still nawafundisha vingi ambavyo hawavijui

Wanzira haueleweki...hatusemi wanawake hawaudumii familia bali tunaongelea viwango linganifu baina ya mke na mme

Kimsingi wanaume wenzangu msidhubutu katika hili mkajipotezea heshima zenu...mwanamke ameumbwa ana dharau na majivuno na inapotokea akakuzidi ama kipato ama elimu hata ndoa ikidumu basi kaheshima kanapungua,otherwise unless awe amelelewa kwenye maadili ya kiroho sana na awe ana utii kwa Mungu lakini si hawa wa kwetu wenye kushinda wanadai haki na usawa na kudai kubakwa ilohali ni tendo la ndoa katika ndoa

Wanawake ni wengi sana,tusidhalilike tutafute taratibu wa saizi zetu na hasa katika suala zima la ndoa tusikimbilie mahusiano

Hivi nani anamjua mume wa Stara Thomas?
The huby dons an earing, put on kk etc while mama sings 'gospel' but they're happy together.

Simply and in a very plain spoken language ... Dont dare!

Yes' dont dare to make her your wife a woman under those conditions!

You ask Why? Power is toxic to any woman if above her Husband!!

She wil risent you regardless and whatever you dream as supermanagment to her! Dont Ever dare do that!! Am sure al those Real Women knows what am talking about!!

Simply and in a very plain spoken language ... Dont dare!

Yes' dont dare to make her your wife a woman under those conditioms!

You ask Why? Power is toxic to any woman if above her Husband!!

She wil risent you regardless and whatever you dream as supermanagment to her! Dont Ever dare do that!!
With all due respect Sir, I beg to differ..... Not all women, I think wewe umekutana na wa aina moja, I know some who are really powerful in some aspects like elimu, kazi and yet they are down to earth to their husbands!

Back
Top Bottom