MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Ninatamani sana kutoa ushuhuda katika thread hii but nahofia mwenyewe atajua. Nonachowezasema ni kimoja......mwanamke tuko kama mikate ya boflo, chai tu kiboko yetu. Know how to treat a lady and there you have us .............the whole of us. ! Mpende, mheshimu kama mke, usionyeshe kumnyenyekea kijingajinga!, usionyeshe kumwogopa kama bosi nadni ya nyumba.......we all need to be protected tatizo wanaume wengine wakishaona mwanamke msoni basi anaanalyze kila mkewe atakachosema kiasi kwamba hata kukiwa na aurgument ya kawaida mtu anaiweka kiusomi. Tatizo mnawachakachua ndo maana mnawafungua makucha!!