Kuoa mwanamke anaye kuzidi Elimu

Kuoa mwanamke anaye kuzidi Elimu

nzedanze

Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
44
Reaction score
1
Wadau naomba kuuliza kwa nn mtu akioa mwanamke anaye mzidi Elimu ndoa haidumu hasahasa akikuzidi elimu na kipato ndo balaaa..Je nini tatizo?
 
Akikuzidi elimu na pesa ujue hiyo ni hatari. fanya uwe na moja kati ya hivyo.
 
sio kweli kama umemzidi mumeo elimu na unapata mshahara mzuri ndio umdharau mumeo,ni hulka tu yamtu na tabia mbaya haija husiana chochote na elimu wala kipato,labda malimbukeni ndio hufanya hivyo.
 
Wadau naomba kuuliza kwa nn mtu akioa mwanamke anaye mzidi Elimu ndoa haidumu hasahasa akikuzidi elimu na kipato ndo balaaa..Je nini tatizo?

Kweli kabisa Man.. naku support 100% .... hata kama ndoa ikidumu basi itakuwa haishi na visa ...
 
Mahusiano hayana generalization kama hivi. Inategemeana na mtu. Waweza oa asiye kuzidi chochote na bado akakutesa. Usizungumze kwa majumuisho ya juu juu hivi.
 
Mkuu hapa kubali ukate tatizo ni mfumo dume ndio chanzo, kwamba dume ni kichwa cha familia kwa maana ya kuwa na power ya kuprovide kwa familia yake,
so inapokuwa kinyume chake mara nyingi ingawa si zote inakuwa tatizo
 
ni kweli hii kitu inatokea kabisa ndoa hua haidumu kabisa yaani cha muhimu bora mwanaume uwe juu kidogo kwa kimoja wapo
 
Hapo kuna matatizo mawili;la kwanza ni mume mwenyewe,kama hajiamini ndoa haiwezi kudumu kwani atakua anajistukia sana na kuhisi anadharauliwa,la pili ni mke,kama ilivyo kawaida ya mwanamke yoyote aliepo chini ya jua,wao wanahitaji kila kitu kutoka kwa mwanaume,insort hawawezi kujisimamia au kujiongoza,sasa kama wanayahitaji hayo kwako halafu amekuzidi elimu itampa shida sana anatarajia na pia anajua mwanaume amzidi kwa kila jambo,hii itawasumbua sana!
 
Mh!!Mi mpitaji tu,ngoja niwaachie wanandoa wenyewe........Bado niponipo aisee.........
 
sio kweli kama umemzidi mumeo elimu na unapata mshahara mzuri ndio umdharau mumeo,ni hulka tu yamtu na tabia mbaya haija husiana chochote na elimu wala kipato,labda malimbukeni ndio hufanya hivyo.
<br />
<br />
Tangu mwanamke alipoumbwa alihitaji protection kutoka kwa mwanaume,hayo ni pamoja na kuwa "supiria" kwake,huwezi kuwa na hayo kama amekuzidi yote hayo!Na kitakacholeta shida ni uanamke wake!
 
Hyo kitu haifai labda asiwe mbongo.lkn kama ni mbongo ucjaribu manake hata watoto pia watajua tu kua mama yao ndo anpower.hvyo utakuja kua inferior tu.wapo waliofanikiwa kumaintain lakini 5%.
 
Hii ni kwa wanawake wote hata awe sayari ya Mars!
 
Wadau naomba kuuliza kwa nn mtu akioa mwanamke anaye mzidi Elimu ndoa haidumu hasahasa akikuzidi elimu na kipato ndo balaaa..Je nini tatizo?

Kama mke amekuzidi elimu basi kudumu kwa ndoa kutategema na jinsi utakavyoweza kudhibiti wivu usio na mpango na inferiority complex yako kama mwanaume!
 
<font color="#0000cd">Kama mke amekuzidi elimu basi kudumu kwa ndoa kutategema na jinsi utakavyoweza kudhibiti wivu usio na mpango na inferiority complex yako kama mwanaume!</font>
I never regret reading your posts Tulizo. You have nailed it
 
mi sikubaliani na hilo, bado kuna sample zipo mtaan mwanamke sio tu kwamba anapeza na elimu ya juu kuliko mwanaume but pia anatunza familia.and life goes on happily. so tunapoliangalia hili lazma tupate ushahidi kamili. aaaaaaaaaaay msigope vidume kuoa wanawake wa namna hiyo banaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom