Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau naomba kuuliza kwa nn mtu akioa mwanamke anaye mzidi Elimu ndoa haidumu hasahasa akikuzidi elimu na kipato ndo balaaa..Je nini tatizo?
duh Jf bhana! Unahitaji ushahid wa maandish kama bi kirobotoUna ushahidi??
Mmh. Ndoa zinaogopwa kama kituo cha polisi these days
<br />sio kweli kama umemzidi mumeo elimu na unapata mshahara mzuri ndio umdharau mumeo,ni hulka tu yamtu na tabia mbaya haija husiana chochote na elimu wala kipato,labda malimbukeni ndio hufanya hivyo.
<br />Hyo kitu haifai labda asiwe mbongo.lkn kama ni mbongo ucjaribu manake hata watoto pia watajua tu kua mama yao ndo anpower.hvyo utakuja kua inferior tu.wapo waliofanikiwa kumaintain lakini 5%.
Wadau naomba kuuliza kwa nn mtu akioa mwanamke anaye mzidi Elimu ndoa haidumu hasahasa akikuzidi elimu na kipato ndo balaaa..Je nini tatizo?
I never regret reading your posts Tulizo. You have nailed it<font color="#0000cd">Kama mke amekuzidi elimu basi kudumu kwa ndoa kutategema na jinsi utakavyoweza kudhibiti wivu usio na mpango na inferiority complex yako kama mwanaume!</font>