[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Heheh sio serenget boy naskia skuiz wanaitwa viben10
Kweli mkuu mimi napata zaid tisin asilimia mkuuMapenzi yana mambo mengi sana, mkuu ukipata anayekupa japo 70% ya unachotaka na akawa na tabia njema tulia nae umri sio swala sana..
Sent from my SM-C5000 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona mimi ninabishara zangu fresh tu na yule mama anakaz yake selikalin uhamiajiusipende kulelewa ndugu pambana, fanya kazi.....ila usisahau kuwa kinachokufurahisha wewe mwingine kinaweza kikamliza....muombe MUNGU yasikukute
Kwan kosa liko wap hapo kupenda napo ni makosa siku hizWatoto wa kiume wa siku hizi sijui tunakosea wapi kuwalea.
Mkuu kwa heshima yake usiweke idara anayofanya kazi. Tumeshaelewa ana kilife.Mkuu mbona mimi ninabishara zangu fresh tu na yule mama anakaz yake selikalin uhamiaji
Kwahiyo ukaona bora uolewe!!!Kwan kosa liko wap hapo kupenda napo ni makosa siku hiz
Mkuu mimi nishapenda sana hawa wadada ninaoendana nao umri tatizo hawaridhiki yaan kila kitu akiona yeye anataka yaan ni watu waliojawa tamaa huwez amin
Pia kwenye suala la mapenz kwa hawa madada wadogo linaumiza kichwa wana wanaume wa kila aina na kila sector, akienda salon ana jemba anakonunuaga vipodoz anajemba pia anakoenda sokon kunua nyama ana jemba
Tamaa ina inawasumbua hawa watu asione kitu kataman
Asione mwana ume mrefu kamtaman, pia akiona mweupe kamtan hapo bado hajaona mwenye six park pia bado hajaona mwenye verosa yaan ni shida tupu
Lakin hawa mama wanaridhika