Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku hizi watoto wengi wa kiume wa kibongo wanapenda vi slope.Watoto wa kiume wa siku hizi sijui tunakosea wapi kuwalea.
Balikiwa sana mkuu tatizo hawa wanajua ukioa mwanamke anayekuzid umri ndo unakua umeolewa kumbe siyo wewe unakuwa umetafuta pumziko lako la aman kwenye penzsiku hizi watoto wengi wa kiume wa kibongo wanapenda vi slope.
japo huyu jamaa sjaona shida kwenye kitu chochote alicho ongea nahis yuko on point tu, nothing mbaya hapo.
Hizo ndizo huwa justifications za wapenda slope wote.siku hizi watoto wengi wa kiume wa kibongo wanapenda vi slope.
japo huyu jamaa sjaona shida kwenye kitu chochote alicho ongea nahis yuko on point tu, nothing mbaya hapo.
Haya, kujipa moyo kunaruhusiwa.aisee nimeoa mkuu sijaolewa
Ni sawa lkn mijimama/misugar mamy mingi ndiyo imeathirikaWewe unathan ngoma inapatikana kwa wakubwa pekee siyo hata vibint vidogo vina ngoma dada
Mungu akujaalie Mkuu.....Mkuu lakin mimi niko njema sana upande wa mapene
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu akujaalie Mkuu.....
Ebu nirishie buku 2 kwanza nigonge ze bingwa hapa...[emoji39] [emoji39]
hahahaBalikiwa sana mkuu tatizo hawa wanajua ukioa mwanamke anayekuzid umri ndo unakua umeolewa kumbe siyo wewe unakuwa umetafuta pumziko lako la aman kwenye penz
ni vema ungefafanuaHizo ndizo huwa justifications za wapenda slope wote.
UNASEMA ? [emoji40]Kwahiyo ukaona bora uolewe!!!
Huo wote wivu tu....[emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
miss chagga ashakupururua zote hadi umekuja kuomba assist!!
Hahahaaaaaa!!!!Huo wote wivu tu....[emoji13] [emoji13]
Mwenzio nishapokelewa barua ya ... [emoji181]