Unapenda kulelewa siyo?
Ungekuwa ulishajizalia watoto idadi uitakayo, halafu uangukie penzi la jimama nisingekulaumu.
Pia kibaiolojia inaeleza kabisa kwamba mwanamke kwenye masuala ya uzazi ni nini hutokea kwenye mfumo wake wa uzazi akiishafikisha umri wa miaka 47-57. Kwa mwanaume mwenye malengo ya uzazi na kujenga familia yenye malengo, ni ujuha kuoa mwanamke aliyekuzidi umri hata wa mwaka m1.
Chukulia wewe 24, af'yeye 34, tofauti 10.
Atakapofikisha miaka 47 ya "ukomo" wa mambo ya kinamama, wewe utakuwa na 34 kijana mbichi.
Akiishafikia "ukomo" atakataa na kuyachukia "mambo" yako yote, wakati wewe bado "kinda" na bado "unadai"
Utakubaliana "kupadrishwa" ama "utatoka"?
Sasa adha yote ya nini wakati uwezo wa chaguo sahihi unao? Ama unaongelea hawara yako?
Halafu ulianzaje kumtongoza mama yako mdogo, au uliunganishiwa?
Maana lazima uanze na shikamoo, halafu sijui ninashida mama!
Akikuuliza shida gani, hapo unajitoa ufahamu unajibu.nna....higk..higk...nnaku....kupenda.
Anakuuliza, hivi we mtoto usiye adabu umethubutuje kuntamkia maneno hayo wakati unaelewa kabisa nina watoto zangu size yako wanaokufaa kuoa, umewaza nini lkn?
Unamjibu nini.
Ebw eeh nisikukandamize sana, saazingine kinamama wa kileo ndiyo zao kutafuta watoto wadogo kwa ajili ya kuwalea. Uamzi ni wako, maisha ni yako pia.