Kuoa mwanamke anayekuzid umri ni raha sana

Vijana wa uzao wa kipindi cha vidonge na sindano, mmekua wavivu na legelege sana aiseeee
 
siku hizi watoto wengi wa kiume wa kibongo wanapenda vi slope.

japo huyu jamaa sjaona shida kwenye kitu chochote alicho ongea nahis yuko on point tu, nothing mbaya hapo.
Balikiwa sana mkuu tatizo hawa wanajua ukioa mwanamke anayekuzid umri ndo unakua umeolewa kumbe siyo wewe unakuwa umetafuta pumziko lako la aman kwenye penz
 
siku hizi watoto wengi wa kiume wa kibongo wanapenda vi slope.

japo huyu jamaa sjaona shida kwenye kitu chochote alicho ongea nahis yuko on point tu, nothing mbaya hapo.
Hizo ndizo huwa justifications za wapenda slope wote.
 
Balikiwa sana mkuu tatizo hawa wanajua ukioa mwanamke anayekuzid umri ndo unakua umeolewa kumbe siyo wewe unakuwa umetafuta pumziko lako la aman kwenye penz
hahaha
askupangie mtu mwanagu ikiwezekana oa hata bibi cheka.

mwanamke uso ruhusiwa kuoa ni yule wa damu yako tu. na kwa maelezo yako nimeona hauna shida yyte.

ila kama unapenda vi slope tuu hapo uache
 
Hapo umeajiriwa na huyo mama kwenye ndoa

Dreams never end by fear
 
NI mwinko kumuhonga demu akitaka anihonge mimi , utamu anaopata yeye ndio utamu naopata mimi....

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…