Kuoa mwanamke anayekuzid umri ni raha sana

Naunga mkono hoja moja kwa moja tena mimi natafuta mwingine humu humu hahaha

Sent from my SM-N9200 using JamiiForums mobile app
 
Aya bhna ngoj tufanye reasech na sie

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Miaka 30 sio mingi, wa kawaida huyo nilijua wa miaka kuanzia 50 huko...haya kila la kheri...je VITU VIMO? Mi najua huwezi jipeleka humo kama ni flati screen..utakuwa umefuata vitu bwa mdogo....kama vitu vimo komaaa humohumo
 
usipende kulelewa ndugu pambana, fanya kazi.....ila usisahau kuwa kinachokufurahisha wewe mwingine kinaweza kikamliza....muombe MUNGU yasikukute
Hajasema ana lelewa.... Kasema ana date na overage bhana, mwacheni mwenzenu
 
Mkuu mbona unakisoe adabu kaz yangu kaz ip na akili zangu ni akili gan hebu nambie au unanitafutia ban
vip mkuu, Ngeleja karudisha 40.4M of 300B, zile ambazo siyo za umma sasa tumepewa.

vipi hatuandamani kumpongeza?
 


habali= habari

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
mtu mzima mwenye miaka 30 hawezi kuandika muandiko wa kitoto kama ulioandika ....ila sishangai wenye kupenda kulelewa ndio wenye muandiko kama wako....pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…