Mimi ni single father karibuni jimbo lipo wazi unaweza kupita bila kupingwa...
 
nyie wavulana bado hamjaijua dunia vizuri ndo maana daily ni kuwaponda singo maza, 3/4 ya masingo maza ni wanawake bora labda hao 1/4 ndo wanaweza kuwa na wenge bt kwa nini tabia za wachache zinawafanya muwahukumu wengi? mbona ndoa nyingi tu zinavunjia ambazo si za masingo maza? mbona wanaume wengi tu wanakimbiwa na ke wasio masingo maza au macho yenu yanaona singo maza pekee?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bahati mbaya jimbo langu lina mgombea tayari
Sifa za mgombea ni yule alie single mother
Karibuni sana
Sambaza ujumbe kwa yeyote ulie karibu nae,asante
 
nakuunga mkono mkuu.
Shida sio single mother ila tatizo ni ulimwengu wa sasa tu jinsi ulivyo.
Hata hao mabinti wasiowahi kuzaa huwa wanaolewa na ndoa zao huwa zinavunjika mapema sana.
 
nakuunga mkono mkuu.
Shida sio single mother ila tatizo ni ulimwengu wa sasa tu jinsi ulivyo.
Hata hao mabinti wasiowahi kuzaa huwa wanaolewa na ndoa zao huwa zinavunjika mapema sana.
right, pia si kila ndoa inayovunjika tatizo lipo kwa mwanamke, kuna wanaume mizigo ambao hawavumiliki, imagine mwanaume ni malaya wa kupindukia ndani hamtimizii mkewe unadhani mwanamke atavumilia hadi lini? unakuta mwanaume mwingine ni yeye na pombe hadi hakumbuki mahitaji ya familia unadhani atavumiliwa hadi lini? unakuta mwingine yeye ni mtu wa kipigo tu hajui kuelekeza hata ka kosa ni dogo unadhani ke atavumilia? kuna wakati tunawapa lawama wasizostahili hawa viumbe
 
Reactions: Luv
Ni kweli kuna wanaume wenzetu wana vichwa vigumu aisee usiombe.
Mimi nina shemeji zangu wawili naona mifano dada zangu wanavyoteseka kuibeba familia.
1.Kuna mmoja yeye alimuoa dada yangu ni mtu anaongea sana,maneno mengi,mipango mingi yaani ukikaa naye kwa mara ya kwanza unaweza kusema baada ya mwaka tu huyu jamaa anakuwa kama Mo Dewji lakini matekelezo ni zero.
Yeye alikuwa ni mtu wa kulelewa tu na mwanamke yaani inapita wiki nzima hajaacha hata buku 5 na anategemea akirudi jioni akute chakula ale.
Mke kila akimfundisha jamaa haelewi kesi ikafika kwa familia tukafundisha wee lkn wapi jamaa haelewi anachoongea hata hakieleweki yaani mbele nyuma,nyuma mbele basi mwisho wa siku wakashindwana.
 
sasa hapo napo utamlaumu mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…