Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Ni mda sasa tangu nianzishe mausiano na uyu binti Ni binti mzuri kiasi kimwonekano yuko soft mwanzoni nilimuona Ni binti anae jielewa nikawa namshirikisha kwenye Mambo yangu.. Mara yakwanza kumuita getto alikuja na mdogo wake siku mind Sana cuz nilijuwa pengine labda ajaniamini kias
Tuliachana. Hatukukaa muda sana. Huyo hajawahi kuolewa na hapo anapoishi sio kwa shangazi ni H/ girl huyo
 
Kuwa na mahusiano ni kujidhalilisha tu ni bora kuwa singo,sasa ushamfunua unaona hakufai[emoji34]
 
Back
Top Bottom