mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 737
- 1,002
AsnteKwani single mother hana haki ya kupendwa/kupenda?! Hana haki ya kuwa kwenye mahusiano au kuolewa tena?! Yaan what's the prob. with single mothers?!
Vijana muwe na heshima na tambueni hakuna ajuaye kesho... hupangi wewe ila unaanda mipango mahususi ya maisha, mwamuzi ni muumba. Makosa hufanywa... na baadaye mkosaji au mtendaji kosa ambaye ni (mtu) hutambua makosa na hujutia. Na kama ana akili yenye kufanya kazi sawasawa hutulia na kujirekebisha.
Humohumo kwenye single mothers yupo au wapo wanawake material! Choose wisely
Kitaalamu tunaitaje hiyo?! 🤔Nilioa single mother, jamaa aliyemzalisha alizingua. Na mimi pia mwanmke niliyemzalisha sikumuoa sababu hakunifaa.
Hao hao masingle mother ndo huchochea wanawake wakikorofishwa kidogo tu na mume wake wanamwambia, si umwache!! mume gani huyo malaya!! Yaani nyani haoni kundule!!Bonjour.
Aisee sio poa ndugu zangu, yani siku hizi single mother zimejaa sana mtaa, daaa. Yani kila Dem nikitongoza kwa ajili kuwa nae kwenye mahusiano, katika kumi, tisa ni single mother. [emoji2]
Mpaka kuna mda na stop kwa kutongoza tongoza, na mm Dem akishaniambia ana mtoto, aise moto unakata kabisa, kwani nyie madem mnaferi wapi? Au ndio utam wa pipi bila maganda.
Na katika wanaume kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa.
Mimi sitaki kabisa, kuja kulea bao la mwanaume mwenzangu wakati huyo mwanaume mzima na hema.
At least kwa single mother aliye fiwa na mume wake, na cheti cha kifo tukione.
Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio[emoji419][emoji375]Sioni haja ya salamu
Sisi wengine tulikuwa wabishi kama wewe, tukaone watu wa Jamiiforums wamekuwa negative sana kwa single mother.
Lakini ukweli ndio huo. Nisamehewe kwa kupuuza mafundisho yenu kuhusu single maza. Hiki ni kiumbe hatari sana,kiko kimaslahi zaidi.
Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio.
Kwa hiyo ni kukazia tu, yote yaliyosemwa humu kuhusu single maza ni kweli tupu.
Bro. Tunaweza kuteta?
🤣🤣🤣Ndo katokwa na damu sasaKusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni