Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Sioni haja ya salamu

Sisi wengine tulikuwa wabishi kama wewe, tukaone watu wa Jamiiforums wamekuwa negative sana kwa single mother.
Lakini ukweli ndio huo. Nisamehewe kwa kupuuza mafundisho yenu kuhusu single maza. Hiki ni kiumbe hatari sana,kiko kimaslahi zaidi.

Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio.

Kwa hiyo ni kukazia tu, yote yaliyosemwa humu kuhusu single maza ni kweli tupu.
Hujafunga detection system mzeee 😅😅.. kabla hujapigwa tukio unapata alarm
 
Sioni haja ya salamu

Sisi wengine tulikuwa wabishi kama wewe, tukaone watu wa Jamiiforums wamekuwa negative sana kwa single mother.
Lakini ukweli ndio huo. Nisamehewe kwa kupuuza mafundisho yenu kuhusu single maza. Hiki ni kiumbe hatari sana,kiko kimaslahi zaidi.

Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio.

Kwa hiyo ni kukazia tu, yote yaliyosemwa humu kuhusu single maza ni kweli tupu.
Single mothers ni kama pazia au mlango ulioegeshwa ambao unajifungukia tu hata kwa upepo.
Zaidi huanzisha mahusiano na wewe kama bega la kuegemea kipindi analia, ukishampa bega anaanza kumfikiria mtu wake, akiona mtu wake kaanza mahusiano atataka afanye juu chini kushindana na msichana mpya wa mtu wake, na hapo ndipo hujipeleka wenyewe kwa gharama nafuu kuliko fungu la bamia.
 
Back
Top Bottom