Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona unauma meno?Poa [emoji16][emoji16]
Za wewe?
Natumia App huyo emoj anaonekana kama anacheka [emoji23][emoji23][emoji23]mbona unauma meno?
salama kiasi sijui wewe?
Kiufupi wote hakuna kuoneana huruma si wanaume wala wanawakeSio single maza tu, kifupi hutakiwi kumuonea huruma mwanamke ambaye sio ndugu yako!
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Yah tuishi humo humo [emoji3]Kiufupi wote hakuna kuoneana huruma si wanaume wala wanawake
Af sikuona. Salama kiasi nn shida rafiki? Tatizo wewe hutaki kusali [emoji23][emoji23][emoji23]mbona unauma meno?
salama kiasi sijui wewe?
okay mama.Natumia App huyo emoj anaonekana kama anacheka [emoji23][emoji23][emoji23]
Niko poa rafiki yangu wavivu wa kwenda kusali [emoji23][emoji23][emoji23]
Kulia kupokezana 😃😃😃
kukumisi kunanimaliza 😉Af sikuona. Salama kiasi nn shida rafiki? Tatizo wewe hutaki kusali [emoji23][emoji23][emoji23]
Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua wee ni chizi nimecheka.kukumisi kunanimaliza [emoji6]
nasali sana mbona au nikipiga ishara ya msalaba niwe napost?
Sasa mtu mwenye fikra na mtazamo huo unahitaji busara au kumkwepa?kinacho waponza single mother wengi ni ile khali ya kutokujiamini kama anapendwa kweli, ukimfanyia kosa dogo atalikuza na kukuona ni wale wale na wanajiona kuwa wanamjua sana mwanaume!
siyo wote ila kuishi na single mother unahitaji kutumia akili sana na busara!
nafurahi kuwa sababu ya kicheko chako🥰[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajua wee ni chizi nimecheka.
Uwe unapost kila ukitoka kanisani ili niamini kama unasali kweli [emoji2][emoji2]
Nakumiss pia rafiki yangu [emoji8] hunaga baya mwenyewe.