Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ukipenda single mother unatakiwa kuwa mwanaume haswa na uwe unajiweza otherwise atakupasua. Mimba mfululizo ndo dawa yao. Usiwe naye kama hutaki watoto au kama hataki.Bahati nzuri sikuoa, nilikua napiga tu huku nikiwa na matumaini makubwa
1. Mzalishe chap chap watoto ikiwezekana si chini ya 3. Wa kwanza na wa pili wafuatane, wa tatu na 4 waje baadae kama utapenda.
2. Lea watoto wote kwa usawa.
As long as unamtunza yeye na watoto atakuabudu maana anajua hakuna wa kutunza watoto 3 wa baba mwingine, unless usimtunze ndo anaweza kuzingua au awe malaya tu.