Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
nafurahi kuwa sababu ya kicheko chako[emoji3059]

Nasali fanya namna nitakuwa nakupostia kule siwezi weka majukwaani.

[emoji8] ahsante rafiki wa faida nna imani leo umeniombea.
Nimekuombea hapa hapa kitandani kwangu [emoji23][emoji23] leo tunaenda misa ya watoto mana kuamka asbh hatuwezi.
 
Kifupi hakuna mwanamke bora akaachwa,otherwise kuna kivumbi hapo
Rafiki, lkn kuna wanaume nao wazinguaji mwanamke anaweza akachoka akaamua kuondoka. Sio mara zote wanawake tuko na makosa.
 
Kitandani kwangu jaman usinune

Kanisani tunaenda kusali mimi na wewe misa ya jion[emoji23][emoji23][emoji23]
😅 nanunaje kwa raha hizi

next sunday itabidi tuwahi ya asubuhi ili jioni tukapunge upepo wa bahari
 
KATAA SINGLE MAZA

SINGLE MAZA NI KANSA

SINGLE MAZA NI KIRUSI

SINGLE MAZA NI SUMU INAYO UA

SINGLE MAZA NI LAANA.

KATAA KATAA [emoji2788][emoji2788]SINGLE MAZA KATAKATA.
 
Single mother ukiwa unampiga mashine usimkawize kuzubaa ghetto mwambie adeki, afue, apige pasi Mpe pesa asepe.
 
Tatizo vijana wanaoa single mother wakati huo huo yeye hana mtoto. Iko hivi single mother and single father wanatengeneza couple nzuri alafu wote muwe mnajielewa.
Yaani una mtoto na demu nae ana mtoto..tena yeye ana mmoja wewe labda una wawili alafu baada ya hapo unampiga tukio la kiunganishi sasa(mimba) hapo unakua ngoma droo..hapo mtatulia na mtafanya maisha.
Lakini hii ya kuingia tayari unakuta mwezako kakufunga moja bila au mbili bila hapo utalia tu.
 
Kifupi hakuna mwanamke bora akaachwa,otherwise kuna kivumbi hapo
Mkuu kuna wengine wameamua kuondoka na kuendelea na maisha yao.mfano kuna wanaume wanyanyasaji, walevi, malaya, sasa hapo mwanamke ataweza vumilia kweli? Anaamua kusepa kweli kweli kuanza maisha yake mapya.
Hawa utawaweka kundi gani na wapo wengi tu.
 
Tooba! Kupatwa kwa Mtani Mo.

Na vile uzi wako umeuandika yaani na hata wale watetezi wa single mother leo wanatembea humu humu kwenye makasiriko yako. Teh teh. [emoji28]

Kiufupi sio wote wapo hivyo Mtani. Siku ingine usikurupuke.
Sponsored by singo maza
 
Back
Top Bottom