Umenena kweli kabisa mkuu. Single mothers ni kama wehu hivi waliojikatia tamaa ya maisha. Najuta kuzaa na single mother; cha moto nakipata ijapo sifi.
 
Uko sahihi kwa upande fulani.

Ila mwanamke akishazalishwa kumbuka yule baba wa mtoto ni sehemu ya maisha yake

Hapo ndipo mambo huanza kuvurugika
Maisha yana tafsiri nyingi pamoja na mtukio. Mie huyu nisha date na single mother wengi wapo walio pasua kichwa na wasio pasua kichwa.. wa mwisho alikuwa anaomba hela kama oxygen vile πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ila uzoefu wangu nao siwezi hitimisha kuwa hawafai...
 
Hahahaaha anaomba hela kama oxygen...
Mahitaji mengi jamani...
Ila ukweli ni kuwa ma single mother si wote wapo tunavyowafikiria...kuna mmoja nasumbuka nae hataki kabisa kuachia
 
Hahahaaha anaomba hela kama oxygen...
Mahitaji mengi jamani...
Ila ukweli ni kuwa ma single mother si wote wapo tunavyowafikiria...kuna mmoja nasumbuka nae hataki kabisa kuachia
πŸ˜…πŸ˜… yule mrembo nahisi alikuwa anapumua hela aiseee...

kiukweli wapo single mother wamenyooka vizuri zaidi ya ambao sio single mother.. Hii mada huwezi hitimisha kuwa hawafai...
 
Kazi kweli ukiona single maza tambua kabisa kabla hajawa mama alimchagua mwanaume mrefu mweusi mwenye ndevu anaejuwa kutupia pamba...πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahahaha hawataki suruali za vitambaa...
I need handsome..in theirs voice
 
Noma sana 🀣🀣🀣
 
Umenena kweli kabisa mkuu. Single mothers ni kama wehu hivi waliojikatia tamaa ya maisha. Najuta kuzaa na single mother; cha moto nakipata ijapo sifi.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Aaaah nimecheka kwa sauti aseee.
Eti nn cha. Moto unakiona sio 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Leo nawatetea single mothers!! Kuna sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kuwa single mother. Kuna kufiwa na mume, kuna kupata mimba na baba asijulikane, kuna waliokataliwa na wababa watoto kudai wanawasingizia! Siyo lazima awe mke wa mtu!! Acheni kuwarushia njiwa wao!! Halafu kuna wengine ni wadogo sana hata miaka 20 hawajafikisha, wanastahili kabisa kuolewa!! Hatya wale wenye umri mkubwa zaidin ya 30 -45yrs bado wanaweza kupata wanaume wao wazuri!! Single mothers msikate tamaa!! mtaolewa tu tena na vijana kabisa!!
 
Nakubaliana na wewe 100%
Nina Mkewangu nilizinguana nae kisa tabia zake tukaachana akiwa na mtoto mmoja nimezaa nae wakiume.
Basi kila akija kumtembelea mtoto lazima ni mlee ndo aondoke.
Yaani namkunja kwa njaa kweli kweli.

Na kajenga utamaduni wa kulana kila mwezi mara moja.
Na asaivi kaniaidi atanizalia mwingine akiwa ndani ya ndoa yake.
 
Kwahiyo mnashare wewe mume was zamani na mume mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…