Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Twende taratibu mkuuAcha blah blah jibu swali!
Sasa unaniuliza mimi niliwezaje kwanini mimi ni KE?
HILI SWALI LINAKUHUSU WEWE MWANAMKE
ULIWEZAJE KUMVULIA CHUPI MWANAUME AMBAYE SI MUMEO?
Inamaana zinaa ni m'baya kwa mwanamke pekee sio kwa mwanaume?
Na wewe unawezaje kwenda peku Kuacha mbegu ovyo?
Zinaa ni zinaa tu haijalishi kazini nani