Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 683
- 1,581
Tulia na single mother wako hapoUnakuta hawa wanaotukana single mothers ni vichalii tu hohehahe wako kwa shemeji yao wanakula kwa shikamoo...halafu wamelelewa na mama mmoja...acheni umaku nyie machalii, mwanamke yeyote ili mradi ni mama ana mtoto aheshimiwe...kuwa single mothers sio kosa lake, kosa ni la mhuni huyo mwanaume mwenzetu alomzalisha nakumtelekeza...
Subiri binti yako azalizwe na kijana wangu kisha atupwe hapo kwako fara weweTulia na single mother wako hapo
Safi sana mkuu,kunywa Pepsi kwa mangi apo nakuja kulipa chap kwaaUnakuta hawa wanaotukana single mothers ni vichalii tu hohehahe wako kwa shemeji yao wanakula kwa shikamoo...halafu wamelelewa na mama mmoja...acheni umaku nyie machalii, mwanamke yeyote ili mradi ni mama ana mtoto aheshimiwe...kuwa single mothers sio kosa lake, kosa ni la mhuni huyo mwanaume mwenzetu alomzalisha nakumtelekeza...
Umekuja kuleta taharukijifikirie tena. Mapenzi hayana logic.Mapenzi ni hisia ukileta logic kwenye mapenzi hakuna mwanamke utaoa. Alafu kuwa single mother sio kosa, what do you wanna say? kwamba ukioa mwanamke ukamfanyia ujinga, ukamuumiza , akakuacha she don't deserve another love? upuuzi
Kwanini mkuu?Umekuja kuleta taharuki
Habari za singo maza zilishafifia sana. Natafuta Ajira ataanza upyaKwanini mkuu?
Hahah, hii mada haiwezi kufa mkuuHabari za singo maza zilishafifia sana. Natafuta Ajira ataanza upya
Ww hujui tuWatu wana fikra kwamba single mom ndio wanaongoza kutembea na wanaume wengi wanasahau kuwa mimba huingia siku Moja tu halafu single mom muda mwingi anautumia kulea mtoto au watoto.