Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Hilo halibadilishi msimamo wa asiyetaka kuoa single mother.Ila.ukiangalia hao single mother wengi wazazi wao wako kwa ndoa. Kama.huwataki ongea na Mungu akuepushe nao. Mambo ya hukumu tumwachie mwenyewe atadili na viumbe vyake.
Sasa chuma kama hiki, ndio unakiweka ndani baada ya miaka 5, tayari kichwa kishawaka moto. Wanawake wapo katika wakati mgumu sana apa duniani. Kwanza idadi ya jinsia ya kike inayozaliwa ni Mara 2 ya wanaume. Kwa iyo wakubaliane kuwa single mother's hakuna jinsi. Ndio maana waislam waliliona wakaruhusu kuoa zaidi ya 1.Mmh. Sasa Mkuu hapo makombo mtoto au mwanamke?
Umeonaeee. Huo ndio ukweli halisi na haiwezekani watu wote wakawa wanafanana tabia mpaka malezi hivyo ni ngumu kuizuwia hii hali kwa kweli.Sasa chuma kama hiki, ndio unakiweka ndani baada ya miaka 5, tayari kichwa kishawaka moto. Wanawake wapo katika wakati mgumu sana apa duniani. Kwanza idadi ya jinsia ya kike inayozaliwa ni Mara 2 ya wanaume. Kwa iyo wakubaliane kuwa single mother's hakuna jinsi. Ndio maana waislam waliliona wakaruhusu kuoa zaidi ya 1.
Saiz ndo anaona umuhimu wako, mpige machine afu mwache akapambane na hali yake[emoji23][emoji23][emoji23] Yupo mmoja kanisumbua kinoma mwishoni nikaamua kumpotezea.
Kapigwa mimba uko jamaa kaikataa eti anarudi kwangu kiaina daaah kitakachomkuta atoamini, Mjinga sana hii mimba ingekuwa ya kwangu sasa hivi angekuwa anaishi kama malkia ila kujifanya kwake anapenda wapaka poda kumemponza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja waje kumwaga mapovu hapaTatizo dada zetu wanajiachaniza mno! Yaani unakuta wanakubali kuchezewa na wanaume hovyo hovyo wakati wa usichana wao mpaka wanatia huruma.
Hivi kwani ni lazima ufanye mapenzi kabla hujaolewa?
Kwa taarifa yenu kuna wanaume wapo kwa ajili ya kubikiri na kupiga mimba tu, halafu mengine msichana atajua mwenyewe.
Hivyo dada zetu jitunzeni mpaka siku ya ndoa. Ili mumeo afaidi utamu wa soda yenye gesi, kuliko akute ilishafunguliwa, na pengine jamaa wameinywa hadi imevuka nusu!
Ili kujenga jamii yenye heshima na nidhamu, sa hivi ukitaka kuoa mwulize binti kama ni bikra au la.
Akikudanganya hafalu siku ya kwanza ukute sio bikra unapiga chini siku iyo hiyo, na mahari LAZIMA irudishwe.
Acha hizo mwache mwenzio atunze mtoto [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Saiz ndo anaona umuhimu wako, mpige machine afu mwache akapambane na hali yake
Ndiyo akiipata muoe usimuacheTatizo wanawake wanategesha mimba
Unaonekana unapenda ganda la ndiziHawa ma singo maza wanafaa sana kwenye mapenzi,
Huwa wanajitoa sana tofauti na hivi vichenchede ambavyo havina watoto' na Mara nyingi anatekeleza ahadi bila mizengwe.
Mimi nawapenda sana singo mazas kwa mapenzi yao motomoto,
kudeclere interest: napenda sanaa ya mapenzi"!