Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hv single mothers wanatokana na uzembe wao au ni wanaume kukimbia majukumu?? Hv ingekuwa kila mwanaume anawajibika kwa matendo yake kungetokea na single mothers....yan kabisa kuna mwanaume na akili zake timamu kapachika mimba halafu kakimbia, mwingine ameona isiwe shida ngoja nilee mnamwona mjinga?? Kosa ni kuwajibika kwa matendo yake au kosa ni kuamua kuzaa badala ya kuitoa?? Hebu tubadilike jamani,
 
Mimi nitaoa bikra tu maana hamna namna
Huo ndio mpango mzima. Mabikra wapo mtu asikudanganye. Nakuomba ujipe muda utafanikiwa.
Lkn hawa waliofanyiwa mazoezi wakaachwa ni wanawake pia lkn ukiamua kuoa mmoja wao uwe tayari kukabiliana na changamoto zake.
 
Mwanamume huyo yaani anakwepaje gharama?
Unamaanisha mwanamke anayemwacha ana gharama kubwa kuliko atakayemuoa au?

Kwa nini msichana akubali kufanya mapenzi na kutolewa bikra kabla ya kuolewa? Kama sio uzembe wake ni nini, labda itokee kabakwa,( kesi ambazo ni chache sana)

Kwa yule aliyefiwa na mumewe huyo sawa. Hata mimi naweza kumuoa ikiwa ana sifa husika.
 
Mwisho wa maneno ni kuoa bikra tu, basi.
Hao wengine waendelee na waliowabikiri.
 
Read btn the Lines, U'll understand my meaning.
Tatizo mnapenda sana kugeneralize. Wanaume wenye upendo wapo na wenye fake love wapo pia. Ukikutana na mbaya usiseme wote ni wabaya. Naomba ubadilishe mtazamo wako kuhusu wanaume.
 
Kama ni kweli wewe sio single mother hongera,sasa mimi kuwa na msimamo kwamba siwezi kuoa single mother ni dhambi???
R

Mke mzuri hutoka kwa Mungu, na Mungu ni msikivu ukimuomba akuepushe na single mother akupe mke bora atakupa tu. Lakini si kwa kukandia viumbe vyake nwache yeye Mungu awahukumu kwa dhambi zao.
 
Ushauri wako uliomwambia kwamba "be careful" ndio anaouzingatia kwa kuhakikisha kwamba anaanza vizuri kwa kuwaepuka kabisa hao single mothers maana watamwekea mfano mbaya nyumbani kwake. Atawezaje kumwonya binti yake kuhusu mimba bila ndoa wakati binti anaona kabisa mama yake ndiyo aliyoanza nayo?

Ila.ukiangalia hao single mother wengi wazazi wao wako kwa ndoa. Kama.huwataki ongea na Mungu akuepushe nao. Mambo ya hukumu tumwachie mwenyewe atadili na viumbe vyake.
 
Hv single mothers wanatokana na uzembe wao au ni wanaume kukimbia majukumu?? Hv ingekuwa kila mwanaume anawajibika kwa matendo yake kungetokea na single mothers....yan kabisa kuna mwanaume na akili zake timamu kapachika mimba halafu kakimbia, mwingine ameona isiwe shida ngoja nilee mnamwona mjinga?? Kosa ni kuwajibika kwa matendo yake au kosa ni kuamua kuzaa badala ya kuitoa?? Hebu tubadilike jamani,
Tatizo wanawake wanategesha mimba
 
Huo ndio mpango mzima. Mabikra wapo mtu asikudanganye. Nakuomba ujipe muda utafanikiwa.
Lkn hawa waliofanyiwa mazoezi wakaachwa ni wanawake pia lkn ukiamua kuoa mmoja wao uwe tayari kukabiliana na changamoto zake.
Exactly
 
Mke mzuri hutoka kwa Mungu, na Mungu ni msikivu ukimuomba akuepushe na single mother akupe mke bora atakupa tu. Lakini si kwa kukandia viumbe vyake nwache yeye Mungu awahukumu kwa dhambi zao.
Kwa hiyo kumbe single mothers sio wake wema
 
Kwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.

Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.

Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.

Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!

Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?

Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.

NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.

Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!

Poleni single mother.
Ukikuwa utapata akili ndugu haya ni maisha sio mashindano ulijiuliza je ulokuwa nae we ndio mwanaume wa kwanza kwake? Acha ujinga hata Dada yako hatokuwa mkamilifu,unisamehe yawezekana hats mama ako anaolewa hakuwa mkamilifu kama binti.chunga ulimi wako kichwa kitabaki salama
 
Kwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.

Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.

Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.

Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!

Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?

Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.

NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.

Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!

Poleni single mother.
Sasa wewe ni swa unaanza Mechi na goli limeshafungwa haiwezekani hyo kabysa
 
Back
Top Bottom