Kuoana kwa kuoneana huruma is it right????

Kuoana kwa kuoneana huruma is it right????

safarie

Member
Joined
Feb 23, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Natumai mko alright,

Jamani hebu tujadiliane, mdada anakubali kuolewa na mkaka au mkaka anakubali kumuoa mdada shauri ya huruma. Hebu niambieni hatma ya maisha haya. Nisaidieni....
 
safarie naomba unisaidie unaposema kuoana kwa kuoneana huruma unamaanisha nini hasa kwamba umekaa na mtu muda mrefu ukimuacha unaona sio vizuri unaona huruma ndio inabidi umuoe au una maana nyingine??
 
Duh!! inamaana hapo ni huruma badala ya mapenzi!! Hakuna ndoa hapo
 
nyingi zipo hivyo, inaweza kuwa silimia kubwa sana na tena sio huruma tu ni kumzoea mtu ndo kunaleta huruma
 
Huruma zinaweza kuja kwa njia tofauti, hebu niweke na njia hii. Siyo wapenzi, ila kutokana na upendo wake binafsi kwako, ukabaini kuwa kumkataa kwako kunaweza ukawa ndo mwanzo wa kuboronga ktk muendelezo wa maisha yake. Hivyo kwa huruma yako juu yake unakubali kumpokea. Je ni sawa? Mi najaribu kufikiria zaidi...
 
It's never about huruma . Ukishakaa na mtu ukamzoea mkashirikiana (pengine) kuvunja ile amri ya sita then MKIONA sijui kuoa au kuolewa maana yake ni nini.....it simply means kila mmoja kaamua kuchukua udhaifu wa mwenzake na kucherish strengths zake. Marriage is not about perfection and neither exact match, it's about 2 people tena kila mmoja kuamua kwa dhati kuwa kioo cha mwenzake katika yale yaliyo mapungufu aliyo nayo partner wake. We don't marry kwa sababu tumewapata very descent or call exact match and sio kwa kuoneana huruma bali tunaoa kwa sababu ni muhimu (kama si lazima) kuoa.
 
Kama mlioneana huruma inabidi muendelee kuoneana huruma mpaka mwisho wa safari yenu
 
Natumai mko alright,

Jamani hebu tujadiliane, mdada anakubali kuolewa na mkaka au mkaka anakubali kumuoa mdada shauri ya huruma. Hebu niambieni hatma ya maisha haya. Nisaidieni....

Ngoja huruma hiyo iishe ndipo utakapo jua chungu ya mapenzi
 
Huruma?? What is Huruma? Ni nani anayeona huruma? Mwanamke au Mwanaume? Naolewa na wewe kwa sababu nakuonea huruma, daaa mi sielewi definition ya huruma inayopeleka nikubali kuolewa kwa sababu hiyo. Hivi kama mwanaume ukimwangalia anatia huruma? Naishi je naye?? Hayuko strong au? Yani why huruma may be??
 
basi hata mkiona kwa upendo, then upendo huo ukiisha baina yenu, na hapo uchungu wa mapenzi utaupata pia

Mkioana kwa upendo kutengana huwa inakuwa shughuli pevu kwani mnapendana lakini mkioana kwa kupeana fadhira madhara yake makubwa sana
 
Ni bora kumuumiza mapema before hamjaingia nadani ya ndoa.
Ndoa ni kitu kingine, kwann uteseke ndani ya ndoa? I hp usipomwonea huruma atakukumbuka kwa hilo roho mbaya lako later.
 
Wengi wanao ona hruma ni wanaume!

Huruma?? What is Huruma? Ni nani anayeona huruma? Mwanamke au Mwanaume? Naolewa na wewe kwa sababu nakuonea huruma, daaa mi sielewi definition ya huruma inayopeleka nikubali kuolewa kwa sababu hiyo. Hivi kama mwanaume ukimwangalia anatia huruma? Naishi je naye?? Hayuko strong au? Yani why huruma may be??
 
hizi ndoa bana hata hainaga fomula, wengi kwa kulazimishwa na wazazi ndugu na jamaa, kujilazimisha wenyewe na wengine kupendana ilimradi tu siku zinaenda, ndio maana infi siku hizi kibao!!!
 
Kuliko kuoa/kuolewa kwa kuoneana huruma ni bora muachane tu kila mmoja akatafute atakae oana naye kwa mapenzi!!!
Siku huyo anaeona huruma akikutana na mtu atakaempenda...hiyo hurumma itageuka kua mateso na machozi kwa aliyeonewa!!
 
Lizzy ina maana wewe haunionei mimi huruma
 
Back
Top Bottom