Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Susy umeishapata mchumbaDuh!! inamaana hapo ni huruma badala ya mapenzi!! Hakuna ndoa hapo
Umekaa naye muda mrefu unaona huruma kumuachanyingi zipo hivyo, inaweza kuwa silimia kubwa sana na tena sio huruma tu ni kumzoea mtu ndo kunaleta huruma
Natumai mko alright,
Jamani hebu tujadiliane, mdada anakubali kuolewa na mkaka au mkaka anakubali kumuoa mdada shauri ya huruma. Hebu niambieni hatma ya maisha haya. Nisaidieni....
Ngoja huruma hiyo iishe ndipo utakapo jua chungu ya mapenzi
basi hata mkiona kwa upendo, then upendo huo ukiisha baina yenu, na hapo uchungu wa mapenzi utaupata pia
Huruma?? What is Huruma? Ni nani anayeona huruma? Mwanamke au Mwanaume? Naolewa na wewe kwa sababu nakuonea huruma, daaa mi sielewi definition ya huruma inayopeleka nikubali kuolewa kwa sababu hiyo. Hivi kama mwanaume ukimwangalia anatia huruma? Naishi je naye?? Hayuko strong au? Yani why huruma may be??
Wengi wanao ona hruma ni wanaume!
Lizzy ina maana wewe haunionei mimi hurumaKuliko kuoa/kuolewa kwa kuoneana huruma ni bora muachane tu kila mmoja akatafute atakae oana naye kwa mapenzi!!!
Siku huyo anaeona huruma akikutana na mtu atakaempenda...hiyo hurumma itageuka kua mateso na machozi kwa aliyeonewa!!