zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Nauliza kuoga asubuhi ni USAFI au mBwembe tu.Kuna watu wanaoga asubuhi ilihali hawafanyi mazoezi,hawajaoa.Haya huo uchafu wa kukuwahisha asubuhi kuoga ni upi wakati ulikuwa umelala.....mmmmmh kuna wenzetu hapa dunia kuoga hata mara kumi lazima...
.........
angalizo mi naoga mara tano kwa siku.
.........
angalizo mi naoga mara tano kwa siku.