Kuoga baada ya Faragha

Kuoga baada ya Faragha

Ukiwa member humu lazima ukomae tu BT.
Usafi muhimu sana bibie wakati wa majamboz!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani nisaidieni kwenye hili,kuna jamaa yangu mmoja yeye ni mswalihina sana,katika story zetu tukafikia mahali ambapo alinishauri kuwa kila mnapomaliza faragha na mpenzi/mke wako lazima muoge,sasa nikamuuliza kama mtafanya mara 3au4au5 itabidi kila faragha uoge?akasema ndivyo inavyotakiwa na yeye hufanya hivyo,hebu wadau tuchangie kwenye hili au kupeana mawazo ni utaratibu gani hapa unafaa maana mimi naona itakuwa kama ni karaha hasa ukichukulia kuwa mabafu yetu wengine yanakuwa nje ya nyumba.

Ndugu yangu, unataka kupiga mambo halafu uendelee kuzurura na ile harufu ya mambo na mijasho mwilini? Ni vzr kuoga aisee hata kama mtapiga mambo mara kumi, Dar joto bwana ... loh!
 
hihihhiiiiiii mie bado mtoto, mnanikomaza humu ndani loh....
Hahaha BADILI TABIA, twenzetu jukwaa la wakubwa nikakufunde. Hapa watakubemenda tu.... Kama kungonoka ni uchafu, majogoo yangeoga mara ngapi? LOL
 
Last edited by a moderator:
Kama bafu la nje, mnaweza ingiza ndani jacuzi la simba plastik, siku hizi ana mabeseni makubwa hata ng'ombe anatosha.

kwani nini bana........

574925_181102558682156_100003472390252_253252_1607028572_n.jpg
 
Tena kuoga haswaa..ucmuachie mwenzio fungus..muhm kuoga kujfuta kwa ktambaa safi...kuondoa majasho na maharuf mabaya..msilambane uchafu..lol..

Na kulambana kupo??? unalamba nini sasa? we mkare
 
Unaoga kidogo sio unaoga mpaka Ile harufu ya nanii (kuku wa kienyeji) iishe harufu hyo nayo ina raha yake kwenye mapenzi.
 
Wasiyeoga baada ya kujamiiana ndio wale wanaokumbwa na popobawa!
 
hata kama ni mafinga.

Mtwivila si uko kwako?

Mjiandae hata kama mtaweka maji kwenye semosi kwa ajili ya asubuhi lol.

Kwa kiubaridi hiki cha hapa MTWIVILA....acha wewe, utaoga peke yako!
 
raha ya lile tendo uoge/uwe msafi jaman, ukimaliza tu round ya kwanza jiswafi na maji alafu rudi tena anza upya hata kama round zitakuwa 20 ....
 
Back
Top Bottom