Kuoga mara mbili

Kuoga mara mbili

Swala SI kuoga nafikiri miundombinu ya bafu si rafiki kwa namna moja au nyingine
Pakawaida tu tena pakwangu sishei na mtu basi tu yaan nkizaa mtoto wa kiume akachukua hii akili angu sijui itakuaje[emoji19][emoji19][emoji19]
 
Huna wakushea nae labda? Nafikiri pia hili nalo ni tatizo jingine linalochoche kutopenda kuoga
 
Ivi inawezekana kila mtu azunguke siku nzima afu usiku tulale kitanda kimoja bila kuoga [emoji848][emoji848][emoji848]
hapo kweli co sawa ila maMEN tukiwa wenyewe tu siku2 kawaida hatuogi ila kuendelea mbele ni uchafu labda uwe sehemu za baridi sana. Ni mawazo yangu tu lakini
 
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.

Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
Kuoga si lazima hata katiba ya JMT haijazungumzia suala la kuoga. Ni utashi wa mtu aoge au asioge.
 
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.

Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
Sio bure ww utakua uanatumia madawa ya kulevya , maana watumiajia wengi Wa hicho kilevi hua hawapendi kuoga
 
Utakuwa una nyota ya jangwani ndo maana
 
Samahani pisi kali ushawahi kisikia kitu inaitwa Poti!!? Halaf kuwa na uchaguzi sahihi wa pafyum kuoga bye bye

Kichwa BoX
 
Pole sana...

Weka picha tuone, pale usipooga mwili unavyokuwasha alisikika member mmoja...

Cc: mahondaw
 
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.

Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
wewe ungekuwa na allergy kama mimi usingeoga kabisa, me nikitoka kuoga nawashwa hatari lakini nishazoea lazima nioge
 
Back
Top Bottom