Kuoga mara mbili

Kuoga mara mbili

Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.

Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
ila kwa kuwa piss kali lazima uoge Mara 7 per day
 
Back
Top Bottom