Tuwe wakweli jamani. Wanawake wengi (sio wote) wenye asili ya kiafrika huwa hatuoshi nywele kila siku. Wengi wetu huosha mara moja kwa wiki au kama mtu una uwezo mara mbili kwa wiki. Hii ni kutokana na hair styles tulizonazo. Mtu aliyeweka perm sio rahisi aoshe nywele kila siku. Aliyesuka pia vile vile sio rahisi. Walio na nywele natural ndio wanaweza kuosha kila siku.
wewe pakajimmy sijui wataka usaidiwe kivipi? lazima uende shuleni ndio ujue mambo yote kwani?? all those things and many others are not rocket science...infact inaonekna wewe ndio mzushi huo dada yetu ni shwari kabisa lakini wewe ndio hushikiki!!!!! agh! nimechoka!
Kuoga na mamsap ni bomba sana hakuna tatizo lolote na mnaweza pia kunanihii ha ha ha ha wakati mnafanya usafi.
Messaging haina uprofessional wote mimi sijawahi kuingia hata darasa la hiyo kitu lakini nimeshaambiwa nafaa sana kuingia katika hiyo profession. Ni kupay attention tu na kufuata maelekezo ya mlengwa. 🙂
Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!
Tuwe wakweli jamani. Wanawake wengi (sio wote) wenye asili ya kiafrika huwa hatuoshi nywele kila siku. Wengi wetu huosha mara moja kwa wiki au kama mtu una uwezo mara mbili kwa wiki. Hii ni kutokana na hair styles tulizonazo. Mtu aliyeweka perm sio rahisi aoshe nywele kila siku. Aliyesuka pia vile vile sio rahisi. Walio na nywele natural ndio wanaweza kuosha kila siku.
TZ female jiangalie wenzio watakwambia unatoka Msanga.......! hahahahaaaa!
pakajimmy unatoa siri zako za ndani......mtunzie mwenzio siri......Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!
mkulu,najua unachosema hapa wabeijing wengi watakuwakia lakini upo sawa kabisa,wanawake wengi ni wachafu tena hawa wa kizazi kipya ndio kabisaaa,unakuta mwanamke anakwenda ****** kukojoa akimaliza anapandisha chupi yake kisha huyoo,hajui hata kunawa?
tehe tehe umenikumbusha....day moja niko nasubiria kyepe yai basi nikamuona jamaa msela kaanza kujikuna kicchwani..sikujali..akahama akaanza kujikuna balls zake kisha anageuza kyepe....hapo akachukua yai na mkono ule ule katoka nao uvunguni una ukungu wa hudhurungi.......nikasema balaa hili nikaondoka bila kuaga......niliskia kichefu chefu saaaanahivi haya mambo mnayaonea wapi...hamna watu wachafu kama wanaume...mara kujikuna kuna and u gys NEVER wash your hands after visiting the loo..... lets see nani atanipinga!!!
Wakuu nisaidie hivi kuna umuhimu wowote wa kuoga na mke wako?au ni fasheni tu!!!
Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!
Jaribu kuoga na mumeo/ Bf uone je kuna raha au vp?Wakuu nisaidie hivi kuna umuhimu wowote wa kuoga na mke wako?au ni fasheni tu!!!
Massaging is a proffession for your info!
Wanawake wengi hawajui hata inaanzia vipivipi...!
Msiseme tena nawajia juu, hasa akina Wos na M`Jamii1, huo ndo ukweli bana!
Msanga ndio wapi huko?
Just a representation ya mahali ambako hakuja kuwa modernised!
SafiIm being realistic.
Aliyesema wiki tano/sita amezidisha but its definitely not an everyday affair for most. Women know it and so do men.
Are you sure?
Hata ukificha it saves you nothing better!Si kitu cha kuficha.
Lakini ukweli unabaki pale pale idadi kubwa ya wanawake ni wachafu sana kwa ndani namtetea jamaa hapo juu huu ni ukweli nani hapa ajitokeze aseme ukweli katoka kusuka Rasta kwa mmasai alafu akaosha kichwa siku hiyo aseme hapa.
...... Ehee sasa mie hapo juu nimeangukia katika kundi gani hapo? La wasiojua massaging inapoanzia au la kuksema unatujia juu?.. makubwa
kisa ni nini mpaka usukwe nywele za kusokotwa na mate?mmhh na wewe unanitia aibu na hao wanawake wako bwana khaa