Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Shukrani mzee dah naingiliwa sana ngoja wiki hii nabanishi.
we luv ucmckilize huyo, heee retouch gani ya 1500?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mzee dah naingiliwa sana ngoja wiki hii nabanishi.
Hivi kulitachi nywele bei gani jamani kuna kimada kinanichuna sana kila wiki nakipa 70,000/= kwa ajili ya kulitachi nywele mmmh huu usafi jamani kweli gharama.
hahahhahah wajinga ndio waliwaooooo fide kwa hizi salon za kibongo bongo hapa bado sijacome across na hiyo salon ya 70,000 ku-retaouch mhhhh labda mie naenda za uswaziii nichicheme mengi bureeeeeeeeeeee
We acha tu yaani gharama nyingine za wanawake ni too much ipo siku ataniambia anataka kulitachi huko kwa eva.
hivi Fidel unapatikana mitaa ipi.... za kwangu zikipata retouch ya kila wiki itakuwa bomba sana.... yaani na ujanja wako wote huuu unakoniwa elfu 70 kila wiki......mmmmmmmmmmmmmmnh!
Yaani nimechoka kumbe kulitachi buku jero alafu mm natoa 70000 kwa wiki inaniuma sana lazima nimpige kubuti.
.... sasa huyo kimada ni nyumba ndogo ama ni wa mtaani tu???? maana amepata kisima cha noti....nywele zetu hazifanyiwi retouch kila wiki.. anakula tu hela zako..labda anaamanisha treatment... sasa ila 70k kwa pesa ya kenya ni elfu karibu saba.... duh haiwezekani ama anakwenda saluni za mabwenyenye!!!
ngoja kidogo kabla hujampiga buti... hebu nenda kamkalishe umuulize hivi honey hii retouch ya kila wiki kulikoni...sikiliza jibu lake ndio ufanye uamuzi...atakuwa mwenzio anazitumia kwa mahitaji mengine...ama wewe mgumu sana ikawa retouch ndio mwokozi wa jahazi tu!!!
Hallo Shishi huyu sister duu nampiga chini yaani ananipiga 10% mimi tatizo sijui ananiona buzi dah kama kuchunwa nachunwa jamani mmmh!
PakaJimmy
Hapa umekuwa too general, bora ungesema baadhi ya wanawake mkuu ikiwamo huyo wako. Pia mwanamke mrembo na anayejua mambo ya urembo, halali na vipodozi usoni/mwilini hata kama haogi usiku huo mana ni lazima aoshe uso vizuri kuondoka vipodozi.
Pia wanawake wengi kila wiki saluni na kuosha nywele ni kati ya shughuli za saluni..
@Chaku
Kuoga na mume/mke ina raha yake mana mnapiga stori,utani na kusuguana kwa mgongo wakati huo wa kuoga. binafsi siwezi kusema ni fasheni, ni mapenzi ya watu na wafanyavyo nyumbani mwao.
Ukishampiga buti niPM...lol
[/I][/B][/COLOR]
BelindaJ, umenena mkuu. Wazee tusipate shida ukisafiri mamsapu anakuagiza makeup removers, skin cleansers, toners, facials, rejuvinating creams like Loreal, etc ni pochi linakutoka la nguvu but for the beauty of your loved ones. Kitunze kidumu. Hata kama mwanamke umeoa toka kijijini, wewe jaribu kumtafuta mke wa rafiki yako wa mjini au ambaye anajua mavitus ya urembo halafu mkeo anapata fursa ya kubadilisha naye mawazo ili naye awe wa kileo.
Pili hakuna mtu mchafu duniani, kila mtu anarekebika. Hata kama mkeo haoshi nywele mwambie aende reputable saloons watampa ushauri wa kutunza nywele. Tatizo akileta list ya mahitaji mnakata yale ya kujipodoa mkisahau kuwa kama hamtawafanya sparkling basi mtatafuta wanaong'arishwa na wanaume wengine au wenye pochi zao ka kujiweka vizuri. Mwanzo wa mahusiano kuyumba.
Katika matumizi ya mwezi ya nyumbani weka na matumizi ya mama kwa mambo ya urembo, ambayo mtakuwa mmeshakubaliana kila mwanzo wa mwaka wenu wa fedha kuwa yanamtosha kwa mwezi kulingana na ukubwa wa keki yenu. Inapendeza pia ukimshusha mke saloon hata kama ana gari yake!!! Ndoa zinadumu na utafanya aniversary zote ili hali tu wote wawili mko hai. Badilika leo kwa manufaa ya ndoa au mahusiano uliyokuwa nayo, kuwa optimistic!!!!
Kama mke au yeyote wako wa karibu in many ways anaweza kujihudumia basi na afanye hivyo ila wewe pia unampa tafu konyesha pendo lako. Nakuambia hata kama wewe ni billionaire but rafiki akakupa hata 20 dollars, bado kama wewe ni mungwana uta-appreciate!!! Huo ndiyo ubinadamu.

shost inawezekana fide mgumu kwenye kutoa hela anga zingine ila akiambiwa nywele anaona bora atoe asipate aibu akiwa ametoka na huyo mdada, ndo maana mwenzie anamkomeshea hukohuko kwenye 'kulitachi' t h e t h e kwi kwi kwi....... acha mkono wa birika babuuuuuuungoja kidogo kabla hujampiga buti... hebu nenda kamkalishe umuulize hivi honey hii retouch ya kila wiki kulikoni...sikiliza jibu lake ndio ufanye uamuzi...atakuwa mwenzio anazitumia kwa mahitaji mengine...ama wewe mgumu sana ikawa retouch ndio mwokozi wa jahazi tu!!!
sasa watu si kama hawa jamani..... hivi PK yuko wapi...awaone wenzake wanoyajua ya Loreal and skin rejuvenation...duh!!!! hongera kaka...huyo memsap wako si atakuwa anang'aa kama kioo!!!
Shukrani mzee dah naingiliwa sana ngoja wiki hii nabanishi.