Kuoga pamoja

Kuoga pamoja

Ni kweli kabisa kuoga pamoja kunaongeza upendo katika ndoa..Kunaongeza upamoja na kuzoeana.
 
basi na mi ntajifunza ntamwambia my wf na mi nataka tukaoge pamoja
anisugue na mgongo ikiwezekana si naweza nkamaliza pia umo umo
bafuni kimtindo au kosa wana JF?
 
Jamaa yangu mmoja wife wake anamgomea kwa visingizio vingi na wapo kwenye nyumba self contained ina watoto ndani na bafu nyumba nzima ni moja; wifey anadai si picha nzuri kwa watoto kwa wao kuoga pamoja; Mpaka sasa haelewi somo na jmaa kisikia ninavyosimulia anumia sana ; tunamsaidiaje huyu?
 
Back
Top Bottom