ngonzi zomukama
Senior Member
- Apr 13, 2010
- 170
- 6
Hata ingekuwa bafu la nyasi! Kuoga pamoja ni muhimu! Kwa kweli mimi nikiikosa hii fursa huwa naona kama nimenyimwa tendo kabisaaaa!
Ni kweli kabisa kuoga pamoja kunaongeza upendo katika ndoa..Kunaongeza upamoja na kuzoeana.
usemayo ni kweli kabisa kuoga pamoja ni muhimu haijalishi bafu liko namna gani
Ni kweli kabisa kuoga pamoja kunaongeza upendo katika ndoa..Kunaongeza upamoja na kuzoeana.
basi na mi ntajifunza ntamwambia my wf na mi nataka tukaoge pamoja
anisugue na mgongo ikiwezekana si naweza nkamaliza pia umo umo
bafuni kimtindo au kosa wana JF?
Vipi GS, umeshamtokea yule jamaa?