Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

Huo ndo uoga wenu. Most men are inferior
 
Kama inateleza, anazaa na anaweza kuvuka barabara nini cha ziada unachotaka?
 
Kuna watu ukiondoa Degree yake kichwani aliyosomea anabaki hata za kuvuka barabara hana.

Hapo hakuna akili.
 
Kuna mwenzio kaoa bubu mwisho wa siku katendwa na bubu katoweka..

Mwanaume Kuoa ni take risk kama risk zingine,, chochote kinaweza kukukuta bila kujali umeoa msomi au sio msomi.umeoa mwanamke mrembo au wa kawaida.
 
Asee mm naona mwenza inabidi minimum awe na elimu ya form 4. Hv fikiria uko na fiance hajui kingereza hata cha kunywea maji, you cant even share a MEME with her!!

Alafu hawa mabint waloishia darasa la saba wakijua kwamba ME ana elim kubwa wanaanza kujishuku yaan wanadevelop inferior complex ukimkosea tu kdogo anaingiza issue ya kuwa kwa sabu hana elimu ndo mana umemfanyia hvo!
 
Jiandae na ada za kulipa mara mbili mbili kwa darasa moja
 
Kama nimeipenda hivi
Huu ndio Ukweli Mkuu.

Yaani Ukitaka kuwa Mume kweli na uwe na Sauti ni lazima Umzidi kila kitu Mkeo

Halafu Mwanamke hajaumbwa kutafuta riziki kwa kutafuta chakula, makazi na mavazi, hayo yanampasa Mwanaume

Mwanamke anapaswa kukupa mapenzi, kukupikia ushibe na kuangalia watoto wako BASI

Akianza kufanya majukumu yako hapo Ndoa inakuwa hatiani anakuwa na kiburi na huo ndio UKAFIRI HALISI.
 
Naona mafeminist wa kike na wa kiume wamevamia jukwaa
 
Oeni hao mazombi wenzenu ila nna swali moja, utaongozana nae katika shughuli za kijamii??! Utaenda nae kwa marafiki zako? Utataka wajue ndo mkeo?
Kosa kubwa linalofanywa na wanandoa wengi ni kufikiria jamii itasemaje juu ya mwenza wake ama kumchagua mwenza kwasabb ni photogenic atavutia nikimpost.

Mnapaswa kuangalia uwezo wa mtu kkt kutimiza roles za mke na mume, siyo kuifurahisha jamii.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…umetisha
 
Reactions: G4N
On the other hand, she deserves to be loved , mpende mkeo. Msiotaka aolewe na huyu jamaa mlitaka aolewe na nani?
 
ivi ile ngoma ya prof jay kaimba na nan vile!!??,
Kuna verse anasema...............nilikupa uitunze mpeeeenz hanasa za jiji zikakuchanganya........
Wachina na walatino
hataki baga anataka boga
Viatu anaeka kwenye fridge

Read more...........
 
We ms*nge umenichekesha knoma
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ