Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Nipo hapa saloon nimemleta biharusi saloon anaolewa leo kama mjumbe wa kamati kuu ๐๐๐๐
Katika kupiga piga Stori na mwali hapa saloon naona Hadi huruma
Money Penny: mkwe wangu, unapenda Mungu Akubariki na watoto wangap?
Wa kike au wakiume?
Biharusi: mmmh kwakweli hapo sijajua, maana skuhizi kupata watoto ni shida kwahiyo tutaangalia mbele Kwa mbele Mungu atakaetupatia ndio Huyo Huyo
Money Penny: okay, na ukipata mtoto WA kike utamwita Nani?! WA kiume je?
Biharusi: mmmh kwakweli sijui, sijawahi hata kuwaza jina kabisa, tutajua mbele Kwa mbele
Money Penny: okay
Sasa nipo hapa saloon wanamwulizia pia tukupake rangi gani ya mikono na miguu anasema hajui apakwe yeyote Tu itakayompendeza na kudamshi
Me bado sijaelewa, kwani ma biharusi WA skuhizi NI kwamba ndoto za kuolewa huwa hamnaga kabisa au kuolewa kwao NI muujiza?!
Mbona warembo hawajajipanga?!
Shida nini?!
Nawasikiliza wajumbe wenzangu WA kamati kuu ya JF๐๐๐๐