Kuolewa imekuwa muujiza au bahati?

Kuolewa imekuwa muujiza au bahati?

Mh.....Sio ukorofi hatufanani...Kwakua Wewe unafikiria hivyo haimaanishi watu wote wapo hivyo...My good friend Nextman
You sound a whole lot weird kwakweli as you keep on commenting
Maisha NI kama shilingi, pande mbili, the more unatoa majibu yako ya ovyo the more wakwe wanakusoma, huko mbele hautasaidikika yakikushinda
Grow up anti
 
Ni msiri hapendi kuweka Mambo yake wazi Ila anawachora tu.....siunajua kwenye hizo salon huwa kunaviumbea na viushakunaku flani hivi😂😂😂
Kwani saloon anaongea na salonist au aliempeleka saloon ambae anaolewa kwao?!
Gaaad jamaan nyie wajumbe WA kamati gani WA Leo??
Mbona kama akili mmeziacha kwenye ubwabwa?!🚶🚶🚶
 
Huy mwelevu san kaa kimy mafanikio mbele yanatokea unaulizwa ushalopoka unajuaje kama utazaa watoto wa ngap na mume hayup nisaloon uko na vishost vyako
Kwa Imani yetu Sisi Mungu anakupa unachotaka muda mwingi
Sasa kama Kila kitu hujui, Mungu anakufanyaje??
Hata Kwa Mungu we NI mzigo
 
Hayo yote ya watoto na vitu gan ni mapenzi ya mungu atajuaje kama atashika mimba? mumewe je? Kuna maswali mengine si ya kuuliza,
Ya kucha je??
Maana hapa unamsingizia Mungu bure, na rangi ya kucha atajua Mungu sio??
Mjumbe WA Leo we umetokea kwenye ubwabwa au🚶🚶🚶
 
Ulitaka ajipange Nini.... Yaaani mtu kutokuchagua rangi ya kucha na mdomo..ndo inafanya ndoa kuwa bahati au muujuza?..

Naona Wewe ungeendelea Kupost YouTube tu
Kumbe unanifuatilia YouTube
Maskini😂😂😂
Huko nimehama muda, poyeee
 
You sound a whole lot weird kwakweli as you keep on commenting
Maisha NI kama shilingi, pande mbili, the more unatoa majibu yako ya ovyo the more wakwe wanakusoma, huko mbele hautasaidikika yakikushinda
Grow up anti
...I don't know why Watu huwa hawataki mawazo tofauti...Kwaiyo Unachofikiria Wewe...kila mtu afikirie hivyo...ukipingwa unaona Watu wanshida.

Kuwa na open mind madam YouTuber.
 
Kumbe unanifuatilia YouTube
Maskini[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko nimehama muda, poyeee
Kuna post ulishawai kusema ..nikitaka kukuona nikutafute. YouTube..Tena ukanipa na jina lako nalo nilishalisahau.
..

Niliangalia dakika chache..sikupenda content zako ..madam Youtuber
 
Sio muujiza tu au bahati kwa wengine ni ajira ndio maana wanalazimika kuvumilia vipigo na manyanyaso kila kukicha,na wanakuwa tegemezi sana kwa waume zao ndio maana Mme akifariki wanalia mara mbili kupoteza mwenzi na kupoteza uelekeo wa maisha maana mtunzaji kaenda.
 
Kwa Imani yetu Sisi Mungu anakupa unachotaka muda mwingi
Sasa kama Kila kitu hujui, Mungu anakufanyaje??
Hata Kwa Mungu we NI mzigo
Ni sahihi unalosema lakin sijaon huy dada kakosea wap labda la rangi tuu ya kumpaka napo piah nao yuko right cause yeyey kaenda kusetiwa yote anajua mwenye saloon kwan ndio kazi yake kutazama nakuona rangi gani ampke anaweza sem ovyo na akaenda akwa kituko ukumbini
 
Mami, that's a normal conversation Kwa MTU ambae anaolewa kwenu
NI normal don't stress😂😂😂
Sasa kama simple maongezI unawaka hivi Yale ya ndani si utaungua😂😂😂
Relax ma'am, harusi NI yetu bado🚶🚶🚶
Ww mie sio .mamii mie wakiume kam hujui unasem mkuu mbn hiy nikawaida humu Jf
 
100% hugo Mwanamke ni wife material, majibu yake yanaashiria kila kitu na isitoshe jamaa kapata msiri wa mambo yake. Kazi kwake athamini au amuache
 
Ulishawai kusikia ktu kinaitwa... wife material...eeeh ndo huyo Sasa

Kuna wanawake ndoa yao ipo Kwenye harusi,yaani anawaza sku ya harusi tuu hawazi misukosuko ya uko.

Kuna wengne Sasa Yani sku ya harusi kwao kama sku zengne tu....hawaijali kabsa
 
Kwani saloon anaongea na salonist au aliempeleka saloon ambae anaolewa kwao?!
Gaaad jamaan nyie wajumbe WA kamati gani WA Leo??
Mbona kama akili mmeziacha kwenye ubwabwa?!🚶🚶🚶
😂😂😂wajumbe wa Leo tumekaza.
 
Nipo hapa saloon nimemleta biharusi saloon anaolewa Leo kama mjumbe WA kamati kuu 😂😂😂😂

Katika kupiga piga Stori na mwali hapa saloon naona Hadi huruma

Money Penny: mkwe wangu, unapenda Mungu Akubariki na watoto wangap?!
Wa kike au wakiume??

Biharusi: mmmh kwakweli hapo sijajua, maana skuhizi kupata watoto ni shida kwahiyo tutaangalia mbele Kwa mbele Mungu atakaetupatia ndio Huyo Huyo

Money Penny: okay, na ukipata mtoto WA kike utamwita Nani?! WA kiume je?!

Biharusi: mmmh kwakweli sijui, sijawahi hata kuwaza jina kabisa, tutajua mbele Kwa mbele

Money Penny: okay

Sasa nipo hapa saloon wanamwulizia pia tukupake rangi gani ya mikono na miguu anasema hajui apakwe yeyote Tu itakayompendeza na kudamshi

Me bado sijaelewa, kwani ma biharusi WA skuhizi NI kwamba ndoto za kuolewa huwa hamnaga kabisa au kuolewa kwao NI muujiza?!
Mbona warembo hawajajipanga?!
Shida nini?!

Nawasikiliza wajumbe wenzangu WA kamati kuu ya JF😂🏃🏃🏃
Yaani unataka utoke saluni na idadi na majina ya watoto ili uwe unamtrack kama ameweza kutimiza matarajio yake? Suala lililopo mbele yake ni kuolewa hayo mengine yatajiseti ndani ya ndoa hayahitaji kutangazia umma mapema.

Kila jamii ina utaratibu wake wa kuwapa majina watoto sio suala la mke kukurupuka na majina yake mfukoni labda kana huyo mwanaume ni wale wa kupandwa vichwani.
 
Back
Top Bottom