Kuolewa imekuwa muujiza au bahati?

Kuolewa imekuwa muujiza au bahati?

...I don't know why Watu huwa hawataki mawazo tofauti...Kwaiyo Unachofikiria Wewe...kila mtu afikirie hivyo...ukipingwa unaona Watu wanshida.

Kuwa na open mind madam YouTuber.
Hayo mawazo yako bado hayajanifanya niwe open minded at all๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ“ž
Sana Sana umenifanya nione kizazi chako ndivyo mlivyo
 
Kuna post ulishawai kusema ..nikitaka kukuona nikutafute. YouTube..Tena ukanipa na jina lako nalo nilishalisahau.
..

Niliangalia dakika chache..sikupenda content zako ..madam Youtuber
Good to know
But many wameipenda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ƒ
 
Sio muujiza tu au bahati kwa wengine ni ajira ndio maana wanalazimika kuvumilia vipigo na manyanyaso kila kukicha,na wanakuwa tegemezi sana kwa waume zao ndio maana Mme akifariki wanalia mara mbili kupoteza mwenzi na kupoteza uelekeo wa maisha maana mtunzaji kaenda.
Itabidi waanze kufanya kazi kama Mheshimiwa anavyotuasa
Skuhizi hata wale madanga wamepoteza soko
Ndio maana hata huku hauwaoni tena hawana hela ya bando๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Ni sahihi unalosema lakin sijaon huy dada kakosea wap labda la rangi tuu ya kumpaka napo piah nao yuko right cause yeyey kaenda kusetiwa yote anajua mwenye saloon kwan ndio kazi yake kutazama nakuona rangi gani ampke anaweza sem ovyo na akaenda akwa kituko ukumbini
Dah NI vile wewe NI mwanaume
Kuna mwanaume mwenzio amekujibu hapo Juu akakwambia inakuwaje biharusi nzima hata rangi ya kumpendezeshea mumeo unataka saloon ikufikirie๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
100% hugo Mwanamke ni wife material, majibu yake yanaashiria kila kitu na isitoshe jamaa kapata msiri wa mambo yake. Kazi kwake athamini au amuache
On my perspective mjumbe wewe
Me naona kama ni mzigo
Samahani lakini mjumbe wewe kama nimekosea huenda nimeshiba wali
 
Ulishawai kusikia ktu kinaitwa... wife material...eeeh ndo huyo Sasa

Kuna wanawake ndoa yao ipo Kwenye harusi,yaani anawaza sku ya harusi tuu hawazi misukosuko ya uko.

Kuna wengne Sasa Yani sku ya harusi kwao kama sku zengne tu....hawaijali kabsa
Wife material hata Ku carry a simple conversation hawezi?!
Ngoja nikale wali chauma ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Mipango ya Mungu hiyo kuisemea ni uongo sasa.
Hakuna aliemwuliza mipango ya Mungu
Kwahiyo kupakwa rangi nayo NI mipango ya Mungu?!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yaani unataka utoke saluni na idadi na majina ya watoto ili uwe unamtrack kama ameweza kutimiza matarajio yake? Suala lililopo mbele yake ni kuolewa hayo mengine yatajiseti ndani ya ndoa hayahitaji kutangazia umma mapema.

Kila jamii ina utaratibu wake wa kuwapa majina watoto sio suala la mke kukurupuka na majina yake mfukoni labda kana huyo mwanaume ni wale wa kupandwa vichwani.
Mami, hiyo NI Normal conversation (maongezI ya kawaida Kati ya MTU na MTU especially wanawake)
Hao watoto kama wapo nitawaona Tu and vice versa
Tatizo wewe unachukua kilichoandikwa tu na kujibu hufikirii nje ya boxi
 
Sasa kwan Mungu anakupa mwenza ili mfanye harusi?
Hapana anakupa mwenza mkato.mba.ne๐Ÿšถ๐Ÿšถ
Product ya kuto.mba.na anaishikilia Mungu
Inshort hajuii anachotaka, ndoa kwake imekuja sijui kama bahati au muujiza
 
Hapana anakupa mwenza mkato.mba.ne๐Ÿšถ๐Ÿšถ
Product ya kuto.mba.na anaishikilia Mungu
Inshort hajuii anachotaka, ndoa kwake imekuja sijui kama bahati au muujiza
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ We K kabsaa.

Aya bhana ila hyo ndoto yake ni kuwa mke wa mtu na kuishi maisha ya ndoa, maswala ya harusi yalikuwa hayapo kichwan mwake
 
Nadhani unawaza Wewe ulivyokuwa siku ya harusi yako..Basi Watu wote tupo Hivyo..kwakua Wewe Ni muongeaji unataka nayeye aanze kubwata Kama Wewe..
Na wanaume wa Sasa hawataki mabinti wabwatukaji hawajafunzwa kukaa nao. Wanajionea tabu tu, ndio maana wengine wanashinda bar. Huyo mdada formula ameijua mapema.
 
Na wanaume wa Sasa hawataki mabinti wabwatukaji hawajafunzwa kukaa nao. Wanajionea tabu tu, ndio maana wengine wanashinda bar. Huyo mdada formula ameijua mapema.
Asee mjumbe
Kuna rafkiangu MKE wake mpole kama kamasi
Lakini mumewe anashinda baa Kila alhamisi mpaka jumapili,
Cha ajabu anashinda NAO baa NI wanawake mabwatukaji kuliko mtangazaji Dida ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Back
Top Bottom