Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #21
You sound a whole lot weird kwakweli as you keep on commentingMh.....Sio ukorofi hatufanani...Kwakua Wewe unafikiria hivyo haimaanishi watu wote wapo hivyo...My good friend Nextman
Kwani saloon anaongea na salonist au aliempeleka saloon ambae anaolewa kwao?!Ni msiri hapendi kuweka Mambo yake wazi Ila anawachora tu.....siunajua kwenye hizo salon huwa kunaviumbea na viushakunaku flani hiviπππ
Kwa Imani yetu Sisi Mungu anakupa unachotaka muda mwingiHuy mwelevu san kaa kimy mafanikio mbele yanatokea unaulizwa ushalopoka unajuaje kama utazaa watoto wa ngap na mume hayup nisaloon uko na vishost vyako
Ya kucha je??Hayo yote ya watoto na vitu gan ni mapenzi ya mungu atajuaje kama atashika mimba? mumewe je? Kuna maswali mengine si ya kuuliza,
Kumbe unanifuatilia YouTubeUlitaka ajipange Nini.... Yaaani mtu kutokuchagua rangi ya kucha na mdomo..ndo inafanya ndoa kuwa bahati au muujuza?..
Naona Wewe ungeendelea Kupost YouTube tu
...I don't know why Watu huwa hawataki mawazo tofauti...Kwaiyo Unachofikiria Wewe...kila mtu afikirie hivyo...ukipingwa unaona Watu wanshida.You sound a whole lot weird kwakweli as you keep on commenting
Maisha NI kama shilingi, pande mbili, the more unatoa majibu yako ya ovyo the more wakwe wanakusoma, huko mbele hautasaidikika yakikushinda
Grow up anti
Kuna post ulishawai kusema ..nikitaka kukuona nikutafute. YouTube..Tena ukanipa na jina lako nalo nilishalisahau.Kumbe unanifuatilia YouTube
Maskini[emoji23][emoji23][emoji23]
Huko nimehama muda, poyeee
Ni sahihi unalosema lakin sijaon huy dada kakosea wap labda la rangi tuu ya kumpaka napo piah nao yuko right cause yeyey kaenda kusetiwa yote anajua mwenye saloon kwan ndio kazi yake kutazama nakuona rangi gani ampke anaweza sem ovyo na akaenda akwa kituko ukumbiniKwa Imani yetu Sisi Mungu anakupa unachotaka muda mwingi
Sasa kama Kila kitu hujui, Mungu anakufanyaje??
Hata Kwa Mungu we NI mzigo
Ww mie sio .mamii mie wakiume kam hujui unasem mkuu mbn hiy nikawaida humu JfMami, that's a normal conversation Kwa MTU ambae anaolewa kwenu
NI normal don't stressπππ
Sasa kama simple maongezI unawaka hivi Yale ya ndani si utaunguaπππ
Relax ma'am, harusi NI yetu badoπΆπΆπΆ
Hakika mkuu100% hugo Mwanamke ni wife material, majibu yake yanaashiria kila kitu na isitoshe jamaa kapata msiri wa mambo yake. Kazi kwake athamini au amuache
πππwajumbe wa Leo tumekaza.Kwani saloon anaongea na salonist au aliempeleka saloon ambae anaolewa kwao?!
Gaaad jamaan nyie wajumbe WA kamati gani WA Leo??
Mbona kama akili mmeziacha kwenye ubwabwa?!πΆπΆπΆ
Yaani unataka utoke saluni na idadi na majina ya watoto ili uwe unamtrack kama ameweza kutimiza matarajio yake? Suala lililopo mbele yake ni kuolewa hayo mengine yatajiseti ndani ya ndoa hayahitaji kutangazia umma mapema.Nipo hapa saloon nimemleta biharusi saloon anaolewa Leo kama mjumbe WA kamati kuu ππππ
Katika kupiga piga Stori na mwali hapa saloon naona Hadi huruma
Money Penny: mkwe wangu, unapenda Mungu Akubariki na watoto wangap?!
Wa kike au wakiume??
Biharusi: mmmh kwakweli hapo sijajua, maana skuhizi kupata watoto ni shida kwahiyo tutaangalia mbele Kwa mbele Mungu atakaetupatia ndio Huyo Huyo
Money Penny: okay, na ukipata mtoto WA kike utamwita Nani?! WA kiume je?!
Biharusi: mmmh kwakweli sijui, sijawahi hata kuwaza jina kabisa, tutajua mbele Kwa mbele
Money Penny: okay
Sasa nipo hapa saloon wanamwulizia pia tukupake rangi gani ya mikono na miguu anasema hajui apakwe yeyote Tu itakayompendeza na kudamshi
Me bado sijaelewa, kwani ma biharusi WA skuhizi NI kwamba ndoto za kuolewa huwa hamnaga kabisa au kuolewa kwao NI muujiza?!
Mbona warembo hawajajipanga?!
Shida nini?!
Nawasikiliza wajumbe wenzangu WA kamati kuu ya JFππππ
Sasa kwan Mungu anakupa mwenza ili mfanye harusi?Sasa shemeji Huyo Mungu atakupaje kama hujamwomba
Hapo anaonyesha NI mwanamke Bora liende, hajui NI kama ndoa amefosiwa or something