Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #41
Hayo mawazo yako bado hayajanifanya niwe open minded at allππππ...I don't know why Watu huwa hawataki mawazo tofauti...Kwaiyo Unachofikiria Wewe...kila mtu afikirie hivyo...ukipingwa unaona Watu wanshida.
Kuwa na open mind madam YouTuber.
Good to knowKuna post ulishawai kusema ..nikitaka kukuona nikutafute. YouTube..Tena ukanipa na jina lako nalo nilishalisahau.
..
Niliangalia dakika chache..sikupenda content zako ..madam Youtuber
Itabidi waanze kufanya kazi kama Mheshimiwa anavyotuasaSio muujiza tu au bahati kwa wengine ni ajira ndio maana wanalazimika kuvumilia vipigo na manyanyaso kila kukicha,na wanakuwa tegemezi sana kwa waume zao ndio maana Mme akifariki wanalia mara mbili kupoteza mwenzi na kupoteza uelekeo wa maisha maana mtunzaji kaenda.
Dah NI vile wewe NI mwanaumeNi sahihi unalosema lakin sijaon huy dada kakosea wap labda la rangi tuu ya kumpaka napo piah nao yuko right cause yeyey kaenda kusetiwa yote anajua mwenye saloon kwan ndio kazi yake kutazama nakuona rangi gani ampke anaweza sem ovyo na akaenda akwa kituko ukumbini
Ur thoughts thoughWw mie sio .mamii mie wakiume kam hujui unasem mkuu mbn hiy nikawaida humu Jf
On my perspective mjumbe wewe100% hugo Mwanamke ni wife material, majibu yake yanaashiria kila kitu na isitoshe jamaa kapata msiri wa mambo yake. Kazi kwake athamini au amuache
Wife material hata Ku carry a simple conversation hawezi?!Ulishawai kusikia ktu kinaitwa... wife material...eeeh ndo huyo Sasa
Kuna wanawake ndoa yao ipo Kwenye harusi,yaani anawaza sku ya harusi tuu hawazi misukosuko ya uko.
Kuna wengne Sasa Yani sku ya harusi kwao kama sku zengne tu....hawaijali kabsa
Wajumbe wameshiba waliπππwajumbe wa Leo tumekaza.
Mjumbe vijiti gan waongelea?!ππΆπΆπΆWaoaji tupo tele sema waolewaji bado wanadanga na kututafunia vijiti mjini
Sawa mjumbeNasoma comment kwanza bado sijapata upande wa kusimamia.
Hakuna aliemwuliza mipango ya MunguMipango ya Mungu hiyo kuisemea ni uongo sasa.
Mami, hiyo NI Normal conversation (maongezI ya kawaida Kati ya MTU na MTU especially wanawake)Yaani unataka utoke saluni na idadi na majina ya watoto ili uwe unamtrack kama ameweza kutimiza matarajio yake? Suala lililopo mbele yake ni kuolewa hayo mengine yatajiseti ndani ya ndoa hayahitaji kutangazia umma mapema.
Kila jamii ina utaratibu wake wa kuwapa majina watoto sio suala la mke kukurupuka na majina yake mfukoni labda kana huyo mwanaume ni wale wa kupandwa vichwani.
Hapana anakupa mwenza mkato.mba.neπΆπΆSasa kwan Mungu anakupa mwenza ili mfanye harusi?
[emoji23][emoji23][emoji23]On my perspective mjumbe wewe
Me naona kama ni mzigo
Samahani lakini mjumbe wewe kama nimekosea huenda nimeshiba wali
ππππππππ We K kabsaa.Hapana anakupa mwenza mkato.mba.neπΆπΆ
Product ya kuto.mba.na anaishikilia Mungu
Inshort hajuii anachotaka, ndoa kwake imekuja sijui kama bahati au muujiza
Na wanaume wa Sasa hawataki mabinti wabwatukaji hawajafunzwa kukaa nao. Wanajionea tabu tu, ndio maana wengine wanashinda bar. Huyo mdada formula ameijua mapema.Nadhani unawaza Wewe ulivyokuwa siku ya harusi yako..Basi Watu wote tupo Hivyo..kwakua Wewe Ni muongeaji unataka nayeye aanze kubwata Kama Wewe..
Usitake kusema hujui vijiti mnavyo tutafunia, wakati hadi platinum anavijua dahMjumbe vijiti gan waongelea?!ππΆπΆπΆ
Asee mjumbeNa wanaume wa Sasa hawataki mabinti wabwatukaji hawajafunzwa kukaa nao. Wanajionea tabu tu, ndio maana wengine wanashinda bar. Huyo mdada formula ameijua mapema.
Basi usitake kuvijua utakuwa wife materials sana, baki na mandishi ya vitabu vitakatifu kichwani.Sasa hapa kaongea platnumz au umeongea wewe?!