Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna yale mahusiano ya mda mfupi sana let say within a month umekutana na mtu anataka kuoa na wee upo tayari kuolewa. Then boom mnaoana. Inakuaje na hapoKuolewa ni kupendwa, mpaka mtu aamue kuchagua kuishi na mwanamke, awe mama wa watoto wake, ajifunike shuka moja na yeye tarehe moja ya mwaka huu hadi tarehe moja ya mwaka wa mwisho....ni mapenzi lakini pia ndoa ni zaidi ya mapenzi
kila mtu ana maono yake, kuna wale ambao hawana kuremba lengo ni ndoa then boom kapata mtu kwa huo mwezi kaona anamfaa wamekubaliana wameoana kuna wengine mpaka tuchunguzane miezi kila mtu ajiridhishe then ndoaKuna yale mahusiano ya mda mfupi sana let say within a month umekutana na mtu anataka kuoa na wee upo tayari kuolewa. Then boom mnaoana. Inakuaje na hapo
sawa ni heshima, Ila hujajibu swali mkuu, kuolewa ndo kupendwa??Iwe mchana iwe usiku iwe jua iwe mvua ndoa ni heshima na ni ndoto ya kila mwanamke kama ilivyo ndoto ya kila mwanaume kuwa na pesa kataeni ila ukweli ndio huo
Yule zuhura yunus ana kila kitu ila mwisho wa siku kaamua kuolewa halafu mwajuma ndala mbili wa tandale anapinga ndoa
Yule diva the bawse siku anaolewa mwezi mzima anafurahia tu na mpaka leo haaamini kama na yeye kaolewa licha ya kujifanya mwanaharakati ila halali na nguo
Wale kina salama jabir na madam rita wanatamani ndoa sema wanajikaza tu ila moyoni wanaumia hawana jinsi
Yule dida wa wasafi TV ukimtangazia ndoa hajiulizi mara mbili
Wanawake mnaoponda ndoa mna psychological problems wote kwa mwanamke ndoa inaleta heshima endeleeni kujipa moyo mje kuolewa mke wa pili na hamtawapata wakuwaoa wakati huo.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
kuolewa ni kuhalalisha mbele za Mungu na jamii kwa ujumla kuonesha kwamba ninyi wawili mmeamua kuacha uzinzi na kuishi kama maamrisho ya Mungu yalivyotaka, na mpaka unaolewa means wewe ndio the best kwake, chaguo sahihi kwake, ameona mnaendana ndio mana ukaolewa hivo kuolewa ni kupendwa na unapoolewa unatakiwa uiishi ndoa yako
ndoa njema ni ile ya watu wawili weye jinsia tofauti (me na ke) wenye kujitambua na kwa mapenzi waliokua nayo baina ya kila mtu kuamua sasa ni muda wa kua halaliHapo kwenye kuiishi ndoa, tupe machache mwaya tujifunze
Shukran, Nimekuelewa sana. Nifungulie PM nna kaswali private 🙏ndoa njema ni ile ya watu wawili weye jinsia tofauti (me na ke) wenye kujitambua na kwa mapenzi waliokua nayo baina ya kila mtu kuamua sasa ni muda wa kua halali
kuishi ndoa ni kuishi maisha ya kufata kiapo cha ndoa pamoja maamrisho yote tuliyooamrishwa,
kabla hamjaoana mtambue tu mnaenda kutengeneza familia ambayo ina msingi wa upendo na hofu ya Mungu,
mwanamke ajue nafasi yake, mwanaume ajue nafasi yake, na wote kwa pamoja watambue wanaoana hao sio malaika, kuna madhaifu wayabebe kila mmoja abebe ya mwenzie na kuishi nayo
ndoa ni kuvumilia, sio kuvumilia vipigo NO kuvumilia hali zote (shida na raha) sio tena dada ajue anaolewa hakuna shida ndio kamaliza, atambue kuna wakat wa dhiki na wakat wa faraja astahmili na kaka tena sio umeoa leo umepata kesho umekosa mbiombio unairudisha familia nyumbani komaa, pambana kadri ukirudi nyumbani ukiiona familia yako inavyokusubiri wakat wa shida ndio iwe motisha ya kupambana zaidi
ndoa ni somo pana lakini kwa hayo machache hope umeelewa
mbona najaribu kukutext mm sioni sehem ya kuanza conversation??Shukran, Nimekuelewa sana. Nifungulie PM nna kaswali private 🙏
Aminandoa njema ni ile ya watu wawili weye jinsia tofauti (me na ke) wenye kujitambua na kwa mapenzi waliokua nayo baina ya kila mtu kuamua sasa ni muda wa kua halali
kuishi ndoa ni kuishi maisha ya kufata kiapo cha ndoa pamoja maamrisho yote tuliyooamrishwa,
kabla hamjaoana mtambue tu mnaenda kutengeneza familia ambayo ina msingi wa upendo na hofu ya Mungu,
mwanamke ajue nafasi yake, mwanaume ajue nafasi yake, na wote kwa pamoja watambue wanaoana hao sio malaika, kuna madhaifu wayabebe kila mmoja abebe ya mwenzie na kuishi nayo
ndoa ni kuvumilia, sio kuvumilia vipigo NO kuvumilia hali zote (shida na raha) sio tena dada ajue anaolewa hakuna shida ndio kamaliza, atambue kuna wakat wa dhiki na wakat wa faraja astahmili na kaka tena sio umeoa leo umepata kesho umekosa mbiombio unairudisha familia nyumbani komaa, pambana kadri ukirudi nyumbani ukiiona familia yako inavyokusubiri wakat wa shida ndio iwe motisha ya kupambana zaidi
ndoa ni somo pana lakini kwa hayo machache hope umeelewa
kuolewa ni suala moja na kupendwa ni suala jingine. Siyo wote walioolewa wameolewa na watu waliowapenda, ndiyo maana kuna ndoa zipo ICU, watu wanaishi kwa vile walikutana wakakubaliana tu "Bora yeshee".sawa ni heshima, Ila hujajibu swali mkuu, kuolewa ndo kupendwa??