Kuolewa raha!

Mtu anakufanyia yote hayo mfikirie basi hata kwa kumpa goti
 
ukiona mwanaume anamfungulia mwanamke mlango wa gari hapo kuna mawili
> gari ni jipya au > demu mpya
 
utakavyogundua bae wako ana watoto sita huko mitaani usisite kuja kutupa mrejesho hapa,hata kama utakuwa una kizunguzungu kikali....eti kuolewa raha,niokooo..
 
Umesema ukweli kwa mtu mwenye utashi mdogo au anayetafuta umaarufu humu. She/he won't understand you.
 
Hili lidada hua linanitapisha na mada zake,watu wameolewa kitamboo we juzi tu basii kelele arrggggg
 
Hili lidada hua linanitapisha na mada zake,watu wameolewa kitamboo we juzi tu basii kelele arrggggg
Pole Dada, wahi kwenye sink katapikie huko wengine tunakula huku
 
monii kwa raha zakeee! Kama hawajaolewa wajitundikie tuu. Weye umeshaonja raha hii baasi. Hata akifwa leo watasema monii aliolewaga.
Tupe habari ka Nipashe mambo yalee alivyokuona siku ya kwanza, yaani siye tulibaki domo zege mwenzetu kaamua tema cheche. Bwaa kaopoa. Wenye wivu tutajimalizia Bwepande
 
utakavyogundua bae wako ana watoto sita huko mitaani usisite kuja kutupa mrejesho hapa,hata kama utakuwa una kizunguzungu kikali....eti kuolewa raha,niokooo..
Hata akiwa nao kumi hakuna shida
 
Hii ndoa ya daily updates dada uwe makini sana! Au hujui kuna uchawi wa masafa?...una nia nzuri ndiyo ya kuonesha raha ya ndoa lakini usiupuuze ushauri huo..ya dunia mengi
 
kuoa raha kuliko kuolewa. 1. ukiamka asubuhi unakuta maji ya moto bafuni.
2. ukimaliza kuoga unapakwa mafuta huku nguo zishanyiishwa, viatu vishapigwa kiwi na soksi zipo tayari.
3. ukitaka kutoka unaambiwa baba chai tayari.
4. .
......
.....
.....
.....
Mwisho kuoa raha kuliko kuoa. ningekuwa mwanamke ningejiua maana wanaume wanafaidi sana.
Nikitaka papucha muda wowote nakula mzigu except siku za d...m...u.
 
Jamani eh, Moniccca asiwadanganye wala nini, mie ndo Mchumba wake nimeamua kufunguka baada ya kuona anawalagai sana, bado hatujafunga ndoa kwasasa tunaridhishana kama kawa tu ila siku ndoa ikiwadia tutawaalika kwenye party, but for now hzo ni kiki zake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…