Worryout j33, I will display each and everything here as this is the only place where I met my lovely husband.
Wewe utakuwa kidomo domo AU
Unatabia za kipashkuna AU
Tabia yako na mumeo hazifanani AU
Mmeo haja kuzimia sana ila wewe ndiye ummpenda sana AU
Hujafikia kiwango alichotegemea mmeo na wewe unajua AU
Mmeo umempata kwa manipulation na hivyo unalazimika kuwa mnafiki AU
Huna kazi ya kufanya kila wakati uko mtandaoni AU
Mmeo hana taimu na wewe hivyo unajisikia upweke na ndiyo sababu kucha kutwa uko hapa AU
Hujui kukaa na mme, unadhani uimara wa ndoa ni mangazo kwenye media. KAMA SIVYO:-
MLIKUTANA JF, WEWE NDIYE KIHEREHERE CHA KUTANGAZA "LEO NAOLEWA" KWA NINI ASIWE MMEO?
WEWE NDIYE KILA SAA UNAJISEMESHA KA KUJILAZIMISHA "NDOA NI RAHA, KWA NINI ASISEME MANENO HAYO MMEO?
Wewe una matatizo. Mmeo anaonekana ni mtulivu na ukiendelea hivi atakuchoka na kuona kaoa mke wa kiwngo cha chini, hatimaye ataanza kukuficha mambo muhimu, atakukwepa na mwisho atakuacha. Rekebika. Ndoa si uchumba. Ni kipindi cha kuwa karibu na mwenzako katika mambo yote hadi kitabia na si kushinda mitandaoni ukisema mambo yako ya ndani.
Au hukutegemea? Utaachwa mjukuu, jifunze utulivu kama alio nao mmeo.
Shauri yako. Utarudi hapa kwangu uendeleee kupika mdalamdala!