Kuolewa raha!

Kuolewa raha!

Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,

Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,

Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,

Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?

Ni full raha, yaani raha.

Asante mume wangu.

Hahaaaaahaaa... So are you advice me to post my thread for Mr. Right too..? Just curious.. Thanks..
 
We monicca thread zako ntakua naangalia tu maana unataka kuandika novel humu kila siku chapter mpya.
 
Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,

Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,

Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,

Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?

Ni full raha, yaani raha.

Asante mume wangu.
Una muda gani kwenye ndoa?
 
Mi namlaumu sana mumeo, anakuachia muda wote huu unaandika uzi mpaka unamaliza! Watu kama ninyi mnatakiwa bandika bandua…
 
Hata keki huanza kuliwa kwenye 'icing sugar' ambapo mlaji hujiuliza: What's this wonderful stuff? I can't quite explain what it is made of!

Then going a little deeper finds the cake itself and alas, its made of just flour!
 
Tarariraaaa ila ukishapata mimba utuletee meejesho na huko leba mtaenda wote
 
Hahaaahha....most of them they run away during the Labor .. Some are show up after the baby delivered / arrived safe and sound. haahaaahaaa...Its only women can bear much pain ... Thank you Lord He knew it before .. Thanks..
 
Hopefully we will be together
 
Worryout j33, I will display each and everything here as this is the only place where I met my lovely husband.

Wewe utakuwa kidomo domo AU

Unatabia za kipashkuna AU

Tabia yako na mumeo hazifanani AU

Mmeo haja kuzimia sana ila wewe ndiye ummpenda sana AU

Hujafikia kiwango alichotegemea mmeo na wewe unajua AU

Mmeo umempata kwa manipulation na hivyo unalazimika kuwa mnafiki AU

Huna kazi ya kufanya kila wakati uko mtandaoni AU

Mmeo hana taimu na wewe hivyo unajisikia upweke na ndiyo sababu kucha kutwa uko hapa AU

Hujui kukaa na mme, unadhani uimara wa ndoa ni mangazo kwenye media. KAMA SIVYO:-

MLIKUTANA JF, WEWE NDIYE KIHEREHERE CHA KUTANGAZA "LEO NAOLEWA" KWA NINI ASIWE MMEO?

WEWE NDIYE KILA SAA UNAJISEMESHA KA KUJILAZIMISHA "NDOA NI RAHA, KWA NINI ASISEME MANENO HAYO MMEO?

Wewe una matatizo. Mmeo anaonekana ni mtulivu na ukiendelea hivi atakuchoka na kuona kaoa mke wa kiwngo cha chini, hatimaye ataanza kukuficha mambo muhimu, atakukwepa na mwisho atakuacha. Rekebika. Ndoa si uchumba. Ni kipindi cha kuwa karibu na mwenzako katika mambo yote hadi kitabia na si kushinda mitandaoni ukisema mambo yako ya ndani.

Au hukutegemea? Utaachwa mjukuu, jifunze utulivu kama alio nao mmeo.

Shauri yako. Utarudi hapa kwangu uendeleee kupika mdalamdala!
 
Hopefully we will be together

Pray for that dear.. But from the experience I have in this field Uwiii 3% can do it , not all of them.. And that 2% can be with you through all the procedures.. That 1% haahaa are ending up in the middle of the journey nowhere to be found , they can't even hold their wives hands while Pushing the baby out ..hahaaaaahaaa.... Thanks..
 
Wewe utakuwa kidomo domo AU

Unatabia za kipashkuna AU

Tabia yako na mumeo hazifanani AU

Mmeo haja kuzimia sana ila wewe ndiye ummpenda sana AU

Hujafikia kiwango alichotegemea mmeo na wewe unajua AU

Mmeo umempata kwa manipulation na hivyo unalazimika kuwa mnafiki AU

Huna kazi ya kufanya kila wakati uko mtandaoni AU

Mmeo hana taimu na wewe hivyo unajisikia upweke na ndiyo sababu kucha kutwa uko hapa AU

Hujui kukaa na mme, unadhani uimara wa ndoa ni mangazo kwenye media. KAMA SIVYO:-

MLIKUTANA JF, WEWE NDIYE KIHEREHERE CHA KUTANGAZA "LEO NAOLEWA" KWA NINI ASIWE MMEO?

WEWE NDIYE KILA SAA UNAJISEMESHA KA KUJILAZIMISHA "NDOA NI RAHA, KWA NINI ASISEME MANENO HAYO MMEO?

Wewe una matatizo. Mmeo anaonekana ni mtulivu na ukiendelea hivi atakuchoka na kuona kaoa mke wa kiwngo cha chini, hatimaye ataanza kukuficha mambo muhimu, atakukwepa na mwisho atakuacha. Rekebika. Ndoa si uchumba. Ni kipindi cha kuwa karibu na mwenzako katika mambo yote hadi kitabia na si kushinda mitandaoni ukisema mambo yako ya ndani.

Au hukutegemea? Utaachwa mjukuu, jifunze utulivu kama alio nao mmeo.

Shauri yako. Utarudi hapa kwangu uendeleee kupika mdalamdala!
Fanya summary kwanza bhana refu sana limenishinda kusoma halafu hakuna mvuto
 
Back
Top Bottom