Kuolewa usipopenda..

Kuolewa usipopenda..

Lyn Vivac

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
858
Reaction score
1,019
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.

Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.

Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.

Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.

The floor is yours wapendwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjafika uo umri kabsa wa kitak kuwowa Ila nayafahamu mahusiano zaid yanavojijua yenyew
Uyo Dada mwache alete wenge tu ataijua dunia ni nan,,,,
Hakuna kitu kitam kam mwanamke akapendwa na mwanaume ,ataish kam mfalme Ila akitafuta anaempenda bhc atakuja kutoa ushuhuda wake APA jinc wanaume tulivo
[HASHTAG]#akiliyakuambiwachanganyanayako[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende kwa babu, atengeneze Dawa mwanaume amkatae Mwenyewe, mwanaume atamuona km kinyesi kibichi.

Ila Amepata anayempenda, atakuja kupenda asipopendwa atamkumbuka huyo kaka.
 
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.

Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.

Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.

Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.

The floor is yours wapendwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Akubali aolewe tu ivoivo asije kujikuta karuka kojo kakanyaga mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjafika uo umri kabsa wa kitak kuwowa Ila nayafahamu mahusiano zaid yanavojijua yenyew
Uyo Dada mwache alete wenge tu ataijua dunia ni nan,,,,
Hakuna kitu kitam kam mwanamke akapendwa na mwanaume ,ataish kam mfalme Ila akitafuta anaempenda bhc atakuja kutoa ushuhuda wake APA jinc wanaume tulivo
[HASHTAG]#akiliyakuambiwachanganyanayako[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
Atajuta na atamkumbuka huko, airport kapata kahb yawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka anavishwa pete ya uchumba mahari inatolewa alikuwa haoini ameacha jamaa ameingia gharama zote hzo ndo anajidai analia. Lakn ukiliangalia hili swala kwa jicho la kiroho kuna vita inaendelea chini kwa chini ni vizuri afanye maombi ya kufunga hiyo hali itaisha
 
mwambie aolewe bana,tule pilau.....................mbona zamani wengi walibariki ndoa za kuchaguliwa,wazazi wanakuja na kukuambia mchumba wako ni huyu,loh mnajuana hamjuani,hio ni mbele kwa mbele,strange ,ndoa zao zilimudu.lol
 
Mahari imetolewa, akavalishwa na pete ya uchumba, trh. ya harusi ikapangwa afu anaigiza kuwa hajisikii kuwa naye lakini akakubali mahari ikatolewa. Bado atakubali afanyiwe Kitchen Party & SendOff, atapelekwa Honeymoon lakini moyoni hampendi huyo jamaa(akili zake anazijua mwenyewe). Huyo tayari ana mtu mwingine ambaye anampenda japo hajui kama hapendwi na huyo ampendae na huyu atakuja kujiunga kwenye chama cha SINGLE MOTHERS.

Mwanamke chezea kazi na mshahara lakini usichezee UMRI.
 
Anamfukuza malaika mlangoni kwa kasi yote ili amkaribishe shetani naye anaingia kwa kasi yote ili ampe hitaji la moyo wake, mpe pole hajui hivyo vilio anavyolia ndo vinapredict vilio vya baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Dada anataka kuitia nuksi ndoa yake,kwani huyo mwanaume alitafutiwa mpaka aseme hamtaki? Si angemkataa mapema wala haikua na sababu ya yeye kumuonyesha kwao kama alikua hampendi, naona ana hamu ya kuyatia nuksi maisha yake yote! Muache aendelee kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.

Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.

Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.

Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.

The floor is yours wapendwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa nini usimwambie kuwa humpendi kuliko kulia lia tu ... Kwa nini hukuwambia wazazi kuwa wasipokee mahari yake kwa nini unakuja kulia humu JF... Mrudishie mahari yake na mwambie kuwa huna hisia naye
 
LV jirani yako lazima atakuwa na matatizo sehemu... hadi harusi inapangwa anaangalia tu...? Hakuna haja ya kumwombea ushauri ni mpuuzi

Haujambo lakini mdogo wangu? Miss you
Nje ya mada.

Hongera kwa interview ya juzi kaka mkubwa, hakika uliuliza maswali mazuri sana na ya kufumbua mbongo zetu. Ulinifanya niione JF ile ya kipindi cha nyuma ambapo nilikua nikipitia na kupata maarifa kabla ya kuwa member kizazi hiki cha akina Muosha r..

Tutafanyj sasa mtu ameshafikia hadi hatua ya kuvishwa pete ya uchumba mpaka anatolewa mahari halaf ndo anagundua kwamba hampend mhusika, hakuna ushaur utakaomfaa kwa sasa
 
Back
Top Bottom