Lyn Vivac
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 858
- 1,019
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.
Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.
Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.
Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.
The floor is yours wapendwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app