PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
HahahaCjafika uo umri kabsa wa kitak kuwowa Ila nayafahamu mahusiano zaid yanavojijua yenyew
Uyo Dada mwache alete wenge tu ataijua dunia ni nan,,,,
Hakuna kitu kitam kam mwanamke akapendwa na mwanaume ,ataish kam mfalme Ila akitafuta anaempenda bhc atakuja kutoa ushuhuda wake APA jinc wanaume tulivo
[HASHTAG]#akiliyakuambiwachanganyanayako[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app