Kuolewa usipopenda..

Kuolewa usipopenda..

Mwambie amuache huyo jamaa, atakuwa amemsaidia, ni heri kupata maumivu ya muda kuliko kuishi katika ndoa na mwenza ambaye akili ziko sayari ya 54467.
 
Mwambie atajifunzia kumpendea huyo mumewe ndani ya ndoa! Kupendana sana kabla ya ndoa hakukuhakikishii kuwa Na ndoa bora!! Aolewe tu, atashangaa anapata mume bora sana!

Sent from Moto G
 
Umeamka sahv?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaamka sasa hivi lakini Humu JF ni imekuwa desturi kujiimpersonate matukio kwa kuwavika watu wengine ilihali mtoa maada ndiye muhusika Mkuu.. Kwa hiyo Kwa kuwa hizo janja tumekuwa tukizijua ndiyo maana tunashauri kuwa Wewe ungemwambia ukweli kuwa huna mpango naye kuliko kufikisha hatua ya kupokea mahari wakati huna mpango wa kimapenzi na yeye
 
Nje ya mada.

Hongera kwa interview ya juzi kaka mkubwa, hakika uliuliza maswali mazuri sana na ya kufumbua mbongo zetu. Ulinifanya niione JF ile ya kipindi cha nyuma ambapo nilikua nikipitia na kupata maarifa kabla ya kuwa member kizazi hiki cha akina Muosha r..



Tutafanyj sasa mtu ameshafikia hadi hatua ya kuvishwa pete ya uchumba mpaka anatolewa mahari halaf ndo anagundua kwamba hampend mhusika, hakuna ushaur utakaomfaa kwa sasa
Asante aseeh,

Naona ni wastage of ushauri tu... na hiyo Ndoa itakuwa si ndoa
 
Ila wanawake mna SIRI kubwa mnafichaga mioyoni mwenu...madem weng skuhiz wanaolewa FOR A REASON,..eitha umri umeenda na mtaan or family inamtia moto,au fweza,.au kuolewa na mtu famous,.etc..af kumbe rohon dem wala hamfeel mwana yan..WACHA watuaktie tuu,hakuna namna,..mtu anajituma anenda had chu**mvin half kumbe dem wala hamfeel mwana,daaah
 
Kaka hajui, maana anaona kila kitu kinaenda sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio anapokosea rafiki yako Basi. Mwambie achague Moja kabla hajaingia kwenye hicho kufungo. Wala asijilazimishe. Ana haki na wajibu kusikiliza moyo wake, Kama anaona hamna connection na jamaa aachane nae, asiolewe sababu umri unaenda au sijui Dunia itamshangaa, amwambie jamaa ukweli na ajiendee zake. Akkilazimisha ilhali moyo wake hautaki hiyo haitakuwa ndoa aisee, itakuwa jela kwa wote wawili.

Naomba nitofautiane na wengi wanaomshangaa na kumshangaa anaachia ndoa. Ndoa sio fashion.

Kama haridhiki na jamaa aachane nae japo kashakosea kumpotezea jamaa muda wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaamka sasa hivi lakini Humu JF ni imekuwa desturi kujiimpersonate matukio kwa kuwavika watu wengine ilihali mtoa maada ndiye muhusika Mkuu.. Kwa hiyo Kwa kuwa hizo janja tumekuwa tukizijua ndiyo maana tunashauri kuwa Wewe ungemwambia ukweli kuwa huna mpango naye kuliko kufikisha hatua ya kupokea mahari wakati huna mpango wa kimapenzi na yeye
Kwan hata mtu akiji-impersonate wewe unachotakiwa ni kumjua mhusika au kujua tatizo? Ulichoombwa ni ushauri sio nani anahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.

Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.

Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.

Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.

The floor is yours wapendwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Always it's difficult to get what you want in life.DIFFICULT in its fullest sense.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalazamishwa ama ni nini?
Hadi pete anavaa alifikiri ni pambo hilo,
Mwambie aamue moyon mwake vzr,

Alikubali sababu ya kumuonea huruma mwanaume ama?

Moyo ni kichaka, Mungu angeamua kuweka wazi mawazo yetu ingekuwa balaa
In ua Presence Jesus is where I belong
 
Kwan hata mtu akiji-impersonate wewe unachotakiwa ni kumjua mhusika au kujua tatizo? Ulichoombwa ni ushauri sio nani anahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani sinimeshauri kuwa huna haja ya kulia kwa kuwa umeshamruhusu Mpaka kukuvisha pete ya uchumba, kulipa mahari na mko kwenye hatua ya mwisho ya Harusi ndiyo unakuja kujua kuwa umechagua chaguo ambalo siyo sahihi.. Ningekushauri kuwa huyo unayemkataa ndiye atakayekuwa mume bora so au kama unaona moyop unasononeka sana basi washirikishe wazazi wako juu ya hili kuliko kulita humu.. Kumbuka ndoa ni wewe muolewaji, familia yako, Yeye Muowaji na Familia yake . marafiki siyo wakuwapelekea matatizo ya Ndoa yako.
 
Huo ndio upuuzi wetu binadamu nnao chukiaga, kwann anafanya maisha yanakuwa magumu kwake while its a matter of being honest....

Analialia nn ss, mtu kama huyo mm asinifate kuomba ushaur kabisa maana sitamuelewa hata,

Amwambie mapema kijana wa watu asije umia sana badae.
 
Cjafika uo umri kabsa wa kitak kuwowa Ila nayafahamu mahusiano zaid yanavojijua yenyew
Uyo Dada mwache alete wenge tu ataijua dunia ni nan,,,,
Hakuna kitu kitam kam mwanamke akapendwa na mwanaume ,ataish kam mfalme Ila akitafuta anaempenda bhc atakuja kutoa ushuhuda wake APA jinc wanaume tulivo
[HASHTAG]#akiliyakuambiwachanganyanayako[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupenda bure upo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufunga ndoa kuna wakati kuna vita sana ya kiroho.
Pengine mwanzoni hali hii hakuoiona ila kadri muda unavyozidi kwenda ndio atajikuta anakosa amani na mwenzake kabisa. Ila ikitokea akaolewa tu maan yake vita ya rohoni ameishinda anaweza kujikuta ana amani na mumewe vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom