GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Ni vigumu kukuita kwenye interview bila ya barua yako kupitishwa na mwajiri wako wa sasa.Bora angepitisha kwa kucomment chochote na kugonga muhuri. Nashauri useme hujaajiriwa popote kwenye barua.Ila hata ukifaulu usaili wao watakuja kukukamata wakati wanapeleka majina utumishi sababu tayari una check number.Unless hao TRA wawe na uhitaji mkubwa au wakupende kutokana na sifa zako wakupambanie wao kukuombea uhamisho utumishi.Habari JF.
Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote.
Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV yangu kwa sababu naamini itaniongezea nafasi nzuri ya ushindani? hivi naweza kuitwa? kuna yoyote aliwahi kufanya hivyo na akafanikiwa? nazungumzia ajira za TRA.
Naombe maoni maana mwajiri wangu kazingua.
Hawa maboss wanajionaga miungu watu sana aiseeHabari JF.
Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote.
Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV yangu kwa sababu naamini itaniongezea nafasi nzuri ya ushindani? hivi naweza kuitwa? kuna yoyote aliwahi kufanya hivyo na akafanikiwa? nazungumzia ajira za TRA.
Naombe maoni maana mwajiri wangu kazingua.
sanaaa yaaani. sasa mtu anarudisha barua bila kuandika chochote ana maana gani?
At least hata angemuita wajadili, otherwise ni dharau zilizopitiliza.sanaaa yaaani. sasa mtu anarudisha barua bila kuandika chochote ana maana gani?
Mkuu hujui tu watu wanayopitia huko maofisini. Acha tu watu wahame wakatulize nafsi zao jobless wanaweza kupata huku wanakotoka hao wengineTuoneane huruma, mtu umeajiriwa unataka tena kugombea nasafi nyingine ya ajira, sio poa
Ipo siku utaajiriwa tu na utajua mambo yaliyopo kwenye ajira. Nakuombea siku uajiriwe then baada ya miaka miwili ya ajira tuwasiliane.Tuoneane huruma, mtu umeajiriwa unataka tena kugombea nasafi nyingine ya ajira, sio poa
Bora umemwambia. Hajui alitendaloMkuu hujui tu watu wanayopitia huko maofisini. Acha tu watu wahame wakatulize nafsi zao jobless wanaweza kupata huku wanakotoka hao wengine
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Yaani, acha tu.At least hata angemuita wajadili, otherwise ni dharau zilizopitiliza.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app