F fukunyuku1234 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2024 Posts 243 Reaction score 494 May 19, 2024 #21 Mwachiluwi said: kwahiyo shemeji ulimpa hela ya kisimbuzi Click to expand... Thubutu alichinjiwa baharini
Mwachiluwi said: kwahiyo shemeji ulimpa hela ya kisimbuzi Click to expand... Thubutu alichinjiwa baharini
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 May 19, 2024 #22 Dah jamaa umetengeneza ngazi tatu za aibu kuomba,kunyimwa na kukumbushia
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 May 19, 2024 #23 fukunyuku1234 said: Thubutu alichinjiwa baharini Click to expand... ulifanya vibaya maana umemzoesha mwenyewe
fukunyuku1234 said: Thubutu alichinjiwa baharini Click to expand... ulifanya vibaya maana umemzoesha mwenyewe
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 May 19, 2024 #24 pyongyang said: Mama yako samia kila siku anaenda kuomba hela na misaada wazungu anatuletea aibu tu sisi watanzania! Click to expand... Huu uzi unahusu watu binafsi sio serikali.
pyongyang said: Mama yako samia kila siku anaenda kuomba hela na misaada wazungu anatuletea aibu tu sisi watanzania! Click to expand... Huu uzi unahusu watu binafsi sio serikali.
MAKANGEMBUZI JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 2,670 Reaction score 7,655 May 19, 2024 #25 Mwachiluwi said: albu sana Click to expand... Kinachofata huwa ni kitangazwa
Fundi mahiri wa ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 4,159 Reaction score 2,844 May 19, 2024 #26 covid 19 said: Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu. Ongeza aibu nyingine kwenye harakati. Click to expand... Na sisi tunaokopa je?
covid 19 said: Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu. Ongeza aibu nyingine kwenye harakati. Click to expand... Na sisi tunaokopa je?
fidel castro wapili JF-Expert Member Joined Mar 18, 2017 Posts 3,497 Reaction score 2,911 May 19, 2024 #27 Ushimen said: Ila huko daslam, wanaume hawana aibu kabisa aiseeee.....[emoji1787] Click to expand... Hata huku mikoan mtu akitoka dar kila mtu huwa anataka apige kibom.
Ushimen said: Ila huko daslam, wanaume hawana aibu kabisa aiseeee.....[emoji1787] Click to expand... Hata huku mikoan mtu akitoka dar kila mtu huwa anataka apige kibom.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 May 19, 2024 #28 Uko sahihi mkuu