co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa maombi yako yamekatatliwa yaani kimya tu.
Naombeni msaada hivi kuomba ajira zao unataikiwa upitie njia gani, maana mwaka huu naomba kazi lakini sijawhi pata update yoyote.
Naombeni msaada hivi kuomba ajira zao unataikiwa upitie njia gani, maana mwaka huu naomba kazi lakini sijawhi pata update yoyote.